Na huzuni hutokea ghafla dakika chache sana baada ya muda mrefu wa furaha katikati ya sherehe.Mambo mabaya yalitokea siku hiyo ya kuhuzunisha
Inasikitisha sanaBeginning of an error and not era!! Total confusions and darkness, the haves will have more🫡
Wanaokufatilia wote nao mazunye tuKama utani vile, kelele zikawa nyingiiiiii, tabiri zikawa nyingiiii watu wakidhani kuwa zitawatisha wenye maamuzi ndani ya kampuni
Niliwaambia hapa tusisubiri ndege stand!!
Atakae waokoa wateja wa kampuni ni wateja wenyewe wawe tayari kwa lolote kama wateja ndio Hawa Hawa tulionao, basi jipeni poleeee wapendwa!!
kaeni kwa kutulia kabisa hakuna mtu atawasaidia Wala muujiza wowote, naongea haya leo nikitafakari kijacho!!
Nawatakia alfajiri njema huko mliko
Tukutane December!!
Aloo😂😂Poleni! Zoeeni maisha ya VPN mapema
Hebu nitumie buku mkuu, bando langu linakata. Hivi tuko salama kweli?USihofu, niko salama kabisa
Hivi kwa nini watz tunapenda kuomba omba vijipesa vidogo vidogo?Hebu nitumie buku mkuu, bando langu linakata. Hivi tuko salama kweli?
Kwahiyo hapo wewe umeona nimeomba! Wewe katika haya maisha Kila kitu ni serious huwezi kuongea jokingly! Pathetic.Hivi kwa nini watz tunapenda kuomba omba vijipesa vidogo vidogo?
Punguza njaaKwahiyo hapo wewe umeona nimeomba! Wewe katika haya maisha Kila kitu ni serious huwezi kuongea jokingly! Pathetic.
Nakiri kupokea tafsri mkuu asant
Regardless of the interest from both parties, hivi unafikiri kuruhusu hili joto linapoelekea wameona matokeo yaamue? Au wote warudi mezani tusichafue kitambaa Safi tulichokabidhiwa na waasisi? Kuna kila dalili nyasi kuumia kama watu hawataacha siti zao kwa unyenyekevu na kuulizana kulikoni? Badala ya kusubiri kuona matokeo.USihofu, niko salama kabisa
Sawa sawa nikusubiri DecemberDecember tunasubiri ingawaje hatujui Nini kitatokea, maana hakuna namna.