mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
Haraka haraka
Oya director! Kwenye hili picha letu huyu mzee wa CUBA alikuwemo au tumtafutie nafasi yake?Ungejua!! 😂😂😂 Anyways mipango mizuri huchukua muda, so be calm, 👍
Angalau C moja sahivi, zile d mbili dont work somehow...Oya director! Kwenye hili picha letu huyu mzee wa CUBA alikuwemo au tumtafutie nafasi yake?
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Hakuna Jipya hizi hekaya za zama za maweUzi umegoma kusogea.
Huyo mzushi
Hiki kicheko cha furaha au kejeli plus dharau??? Sukuma Gang watatoboa??? Vipi Msoga Gang?? Born Town yupo kwenye huu mchezo???😂😂😂😂
Tatizo lenu mna mwendo wa kinyonga,3+5 = 8
4+6=10
3+7=10
8+10+10=28~2+8=10
Changes zitaanza mwezi 8
Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10