Ni mwandishi !!.But you enjoyed kusoma hasa zole pages 3 za mwanzo sio??
Ova.
Ni mwandishi !!.But you enjoyed kusoma hasa zole pages 3 za mwanzo sio??
Au kwasababu alichukua fomu kibabe na akagoma kutoka nje kupisha mchakato maana kama alikuwa anajua nikitoka hapa naliwa kichwaIyo ataipata sema kuimaliza sasa😀😂😂
Wacha tuone mkuu maana naona kama keshaota mapembeIyo ataipata sema kuimaliza sasa😀😂😂
Hii chai yako ya moto iliwaweka watu busy kweli. Saa hii naona unacheza tu na maneno.Mtoto akililia wembe mpe!! Shughuli ndo inaaza
Busara pekee ni kughairi kuingia vitani.Hii chai yako ya moto iliwaweka watu busy kweli. Saa hii naona unacheza tu na maneno.
AmenNi Kweli hayo wameyapanga wao na wamejipanga, ila sisi tunapangua pia🤣🤣Kwa dola ya juu kabisa
Tuvumilie hivyo hivyo. H ah haaa!Wacha weeee 😂😂😂 ila watuuuu jamani?
Kama inakuja halafu inakataa halafu inakuja tenakwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!!
![]()
Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.
washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikie
Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!
Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!
Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!
Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!!
Tukutane December!!!
Hili ni kama liko wazi sana, na yule mzee kama alipangwa mapema ule ushauri wakeAu kwasababu alichukua fomu kibabe na akagoma kutoka nje kupisha mchakato maana kama alikuwa anajua nikitoka hapa naliwa kichwa
Wa aina hii huwa hata hawafi mapema Mkuu.Huyo tunae mpaka 2030.labda Muumba aamue tu kuchukua kiumbe wake
Kama bao la wizi…. Halitoki loteKama inakuja halafu inakataa halafu inakuja tena
NO REFORMS, NO ELECTION.Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...