Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Tunashukuru Mungu Hana upande ila anaenda na majira na nyakati zake, SS kujua hizi ni nyakati Gani, majira Gani kwenye nchi ni issue nyingine.,..

Hawa wako huko wanaongea kutokana na wanayoyaona huko....
Sisi hatuendi Kwa kuona.....asikiae na afahamu 🤣🤣🤣

Sina mwanasheria
Nakuelewa mtumishi ila nimeona ki jikitu hapa
 
😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂

Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.

washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikie😀

Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!

Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!

Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!

Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! 😂

Tukutane December!!!
Umejua kuwazingua chakandumuz
 
Dah! Kumbe asali ya meza ya Bwana ina ladha tamu kiasi hiki hadi unaanza kuvuma kulingana na direction ya upepo? Msimamo wa mtu mzima unakuwa thabiti bana, si wa kupeperuka na upepo wa vyeo!
 
Back
Top Bottom