Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Mnalazimisha ndoto zenu za mchana ila hazitafanikiwa. Hakuna haja ya kuumiza kichwa wakati inajulikana Mama Samia ndo Rais hadi 2030.
Acha ujinga we chawa , hujui DUNIA, sana sana upo huko kakonko huko mwisho wa reli then wajitia ujua , nchi haiwezi kwenda kwa mapenzi ya uchawa, nchi ipo na mifumo yake ,miiko yake kama sio utaratibu
 
Jomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.
 
Jomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.
Alie kuuliza kwamba unajua mambo mengi ya nchi hii ni nani? Acha jikweza wanaojua hawezi kuja hapa tamka , huu uzi upo na comment ngapi? Like ngapi? Reply ngapi ,na je umeanza leo ?, Acha ujuaji usiokua na sabababu , wenda unajua robo ya robo tu au nayo isifike, uzi huu sio wa machawa , ni wa watu makini tena walioenda shule ,acha potezea watu mda wao ,achia watu na uzi wao wenye akili .

Mwendazake kafa ,hata robo ya taifa hili kulijua ilikua bado pamoja na kuwa alikwa waziri miaka mingi sembuse wewe ,acheni upuuzi wewe chawa, hujui Dunia,
 
Wewe kenge ni miongoni mwa wapenda stori za vijiweni. Umeshakuwa addicted siwezi kukutoa kwenye huo uraibu.
 
Wewe kenge ni miongoni mwa wapenda stori za vijiweni. Umeshakuwa addicted siwezi kukutoa kwenye huo uraibu.
Usiaribu uzi wa watu, fine mie kenge naomba turudi huko jukwaa la siasa jf , huko sio saizi yako we Bwana kunguni, acha haribu uzi wa watu, tukutane huko jukwaa la siasa .

Funga kamdomo hapa sio mahali pako wewe na chawa wenzio
 
Hakuna uzi wa mtu hapa. Ukishaandika uzi unakuwa ni mali ya JF na yeyote anaweza kuchangia. Acha udikteta uchwara au fungua JF yako uweke hizo sheria za kipuuzi.
 
Hakuna uzi wa mtu hapa. Ukishaandika uzi unakuwa ni mali ya JF na yeyote anaweza kuchangia. Acha udikteta uchwara au fungua JF yako uweke hizo sheria za kipuuzi.
Wewe utakua na shida kichwani.

Hivi Kwa Nini sasahiv mnaosifia CCM hua hamko sawa kichwani?

Enzi za jiwe ilikua poa. Watu wanashusha vitu mtu unasema yes, kazi inafanyika., na vitu vinaonekana. CCM ikawa na Imani miongoni mwa watu.

Sasa saiz duuhh mpo fyatu sana. Ni ama mnajitoa akili au hamnazo kabisa. Hamjui kusoma alama za nyakati na mpo wavivu wa kutumikisha akili.

CCM ya Kikwete awamu ya pili Ili hoka sana. Watu waliichukia sana. Ila hii ya kwenu ya saiz ndio zaidi hata Ile ya Kikwete.

Punguzeni ujinga wenu. Tumikisheni akili. Taifa sio LA mtu au watu flani. Masrahi ya taifa ndio kipaumbele.
 
Mkuu,Tulipewa muda Hadi 2022 mchankato wa katiba mpya uwe umeanza,akaambiwa ateue wabunge was kimkakati Ili kukamilisha mpangokazi,Sasa basi tukapuuza Hadi mwezi was Saba 2023 wale jamaa wakachoka kusubiri wakaja na uzi mwingine"usaliti wa jemedari wa marekani"wakasisitiza plan ya mwanzo inarudi na ndio hio desert mission yaani mission nchi kavu ya huku Tanganyika inayoendelea nadhani ilianza na uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema halfu No reform no election ambayo imetuharibia zaidi hadi nje ya nchi !!

Sasa kama tukikubali reforms inamaana tukubali kuachia kiti coz report ya wale jamaa inaonyesha Bado watu hawana Imani na mwenyekiti!!na tukikataa ndio hayo yaendelee!!

Nawaza,nafikiria,nachambua maandishi labda ni hivyo Sina uhakika wa mambo hayo!!
Kama nimeanza kukuelewa hivi
 
Chawa sitojibizana nawe hapa ,tukutane jukwaa la siasa, na sikujibu tena ,last message
Mkuu acha kuendelea kumjibu huyo. Inawezekana anaelewa na anajua kinachoendelea ila anafanya distraction ili watawala waendelee kulala usingizi wa pono wasijue kinachoendelea au ni kweli akawa ni chawa ambaye mambo magumu kama haya hawezi kabisa kuyachambua.
Ninachozidi kujifunza ni kwamba tuna viongozi wachache sana wenye uelewa mkubwa wa mambo ya nchi yanavyoenda kwasababu kwa akili ya kawaida tu kabisa kama uko vizuri kichwani ukifuatilia series za Tumia akili unajua kila kitu kinachoendelea na matakwa ya taifa ni yapi kwa sasa lakini naona viongozi wetu ni kama wametiwa ganzi wasijue chochote kilichowekwa wazi hata kama kuna codes ngumu. Iliposemwa makamu wa rais alijiuzuru kwa usaliti na makamu mwingine akachaguliwa siyo lazima kweli awe amesaliti pengine yeye amesoma alama za nyakati na kuyaona yanayokuja. Sote tunaona Mpangomzima alivyoacha na Mchimbachumvi kuanza kupiga jaramba tunasubiri tu skendo ya watergate iondoke na mkulu mwenyewe.
Kuna wakati nawaona usalama wa taifa hawalisaidii taifa ila napokutana na nyuzi za kina Tumia akili nawaona walivyo na mpango wa kulifanya hili taifa kuwa la wananchi hapo baadaye kidogo.

Credits nyingi sana kwa mkuu Yoga maana hapa pamekuwa ndiyo majumuisho ya mambo yote mazito yanayoendelea. Nawaomba wenye nchi muendelee na hii mipango wengine tunaumia sana mali za Tanganyika zinapobebwa utadhani hazina wenyewe, sisi sote tupo tu kwenye hili mia la 2000 mpaka 2100 baada ya hapo hatutakuwepo ya nini kufuja mali za watanzania wajao baada ya sisi kuwa tumeondoka.

The state endeleeni na mipango yenu ya kuliwekea taifa misingi imara kwasasa Tanzania unapokuwa upande tofauti na lile lichama unakuwa kama mhamiaji haramu na unaweza ukauawa kama kuku kisa tu umewakosoa watu wa chama kile.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom