Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Everything thing is fine, achana na mengine mengine mengii,

As I speak there is a suggestion for a sit down!! It's sad that kijana msema sana doesn't want any sit down!!😂

Step two: destruction, soon those kijana msema sana political rallies they enjoy doing, will be no more since the chair, vice chair, and few others will be locked!! Til the game of chance is over!
Pipe dream
 
Unajua mambo mazito yapi ndugu?,mabadiliko hayakwepeki kwa nyakati hizi mmeshindwa kuleta maendeleo kwa raia pamoja na rasilimali za kutosha.
Tunataka viongozi ambayo watatuletea maendeleo na siyo kujinufaisha wenyewe(wabinafsi).Tuweni serious now tuna wasomi wengi tuwape nafasi ya kuitumikia nchi yao na sio kujisifu kujua mambo mengi afu kuutokomeza umasikini mmeshindwa.
Kaka hawa wasomi chini ya serikali ya ccm nao watakua wezi tu. Hili linchi mpaka liwe kama China ndio tunatoka hapa. Ukikutwa umekula mali ya umma unyongwe au ufilisiwe kabisa na ufungwe ili iwe fundisho kwa wengine. Jambo ambalo silioni chini ya serikali ya CCM. Serikali ya CCM ni ya wezi
 
Everything thing is fine, achana na mengine mengine mengii,

As I speak there is a suggestion for a sit down!! It's sad that kijana msema sana doesn't want any sit down!!😂

Step two: destruction, soon those kijana msema sana political rallies they enjoy doing, will be no more since the chair, vice chair, and few others will be locked!! Til the game of chance is over!
Hapana yoga !not fine at all!!

Father kitima yupo Kwa hospital,even chuma in his regime no one dare touching those hollymen in their palace!!

Recently we burried kisiwa whitehouse spokesman!!

And some rumors the vice chairman of our kijani is seriously hospitalized in that region where many of them dont make it when hospitalized there!!!

Safe no more in our company!! maybe if you overlook those instincts!!
 
Back
Top Bottom