Acha kujidanganya ndugu. Mama Samia ndo rais wako hadi 2030 tuombe uzima. Hizo stori zenu za vijiweni ni kupoteza muda.
Tunasema au Mungu anasema SSH hata akiwa pale miaka mia sawa tu, cha msingi wananchi wamemuweka kwa haki na usawa tokana na kura za wajiri wake ambao ni wananchi.
Hii sio shida kabisa ,kama umewekwa na wananchi wa JMT kwa kura halali na kwa uchaguzi wa haki ,kwa hili mtu akiinua mdomo ,mie wa kwanza kuvua nguo kabisa .
Reforms zifanyike anae shinda atangazwe maana anaweza kesho yake akarudi tena kupitia chama chake.note tz hatuna sheria ya Mgombea binafsi)
USA tumeona , Trump alishindwa uchaguzi akiwa ikulu, Biden pia ameshindwa na chama chake akiwa Ikulu , wanajipanga tena , wenda uchaguzi ujao chama cha Biden kikarudi madarakani na hii ndo inatakiwa, ila Taifa lipo pamoja.
Leo kwetu unachagua mkate ila unaletwa nusu mkate ,tutaendelea lini?
Mifumo ya nchi lazima andaa watu mbalimbali kutoka vyama tofauti maana hii ni nchi ya vyama vyingi , sio kalia kwamba Rais lazima atoke chama
tawala chochote kile .
( elewa maana ya mfumo wa nchi, kitu kikubwa sana ichi ,mie binfsi jijui vizuri , wazee kama mzee Pinda, Warioba n.k wenda wanaweza hili elezea)
Na hii ndo imekua kaburi letu kuu kama nchi ,that's machawa kila eneo, that's wengine kwenye mahovu hujificha kwenye vyama flani .
Reform tz ni muhim kwa sasa kuliko wakati wowote ule , kwa sasa kipo kizazi cha kuhoji , kutafakari , na wasipo pata majibu lazima wakukalie kwenye koo, so kwa hali hii utateka wangapi?
Thanks
Mazoea sasa yanaangamiza nchi. We have to change period