Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI, Wazee wetu wa TEC issue ya Bandari walitoa matamko ya kuwa upande wa waliopiga DPW lkn end of the day, mikataba ikasainiwa kwa jeuri siku ambayo, asubuhi bado wako kwenye misa.
Je awamu hii maneno matupu yatavunja mfupa?
Bado tamko moja kutoka TEC
Na ndo la mwisho plus na kitima
Subiri come back yake
Nimekaa pale
 
Bado tamko moja kutoka TEC
Na ndo la mwisho plus na kitima
Subiri come back yake
Nimekaa pale
Baadhi ya Viongozi wetu wa kidini wenye Ushawishi wanajitahidi sana kipindi hiki kutetea HAKI juu ya Taifa letu,

Hili linanipa faraja na upande mwingine ninapata maswali mbalimbali pamoja na kwamba Bibie anatumia wahuni mbalimbali kunyamazisha viongozi.
 
Je hii hali ya serikali kutumia wahuni na baadhi ya viongozi wa dini wa mlengo fulani kuwapinga wenye kutetea HAKI,

Je huu unaweza kuwa wakati wa kupata kiongozi ambaye si wa dhehebu la Sunni (Muslims ) wala Romani Catholic (Christians) maana taasisi zenye kutoa Rais tangu uhuru zinavutana kipindi hiki,

Huyu tulinde AMANI na viongozi wa dini wasichanganye siasa na dini,

Huyu hapana AMANI bila ya HAKI kutamalaki kwenye vyombo vyetu haiwezi kudumu.
RESILIENT KATO, enzo1988, The MoNA, Tresor Mandala, Ame, jay-millions, brAin cRacker, NAMBA MOJA AJAYE NCHINI na wengi wengi karibuni.
🙏🙏🙏
 
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI, Wazee wetu wa TEC issue ya Bandari walitoa matamko ya kuwa upande wa waliopiga DPW lkn end of the day, mikataba ikasainiwa kwa jeuri siku ambayo, asubuhi bado wako kwenye misa.
Je awamu hii maneno matupu yatavunja mfupa?
Lengo la desert mission ilikua kumuingiza mtegoni mwenyekiti coz ukimkamata Lisu mtego ukimuacha uraiani aendelee mtego na lazima uta react,Sasa wamesha react na tayari mtego umezidi kuwanasa na hamna namna lazima wafanye uovu zaidi kunusurru kiti kisiende kwa wenyewe wenye mamlaka ziadi yao!

Hadi hapa tulipofika ni karibu na mwisho wa ukamilifu wa mission!!

Jaribu kufuatilia maonyo ya huduma ya kristo ya Jacob Steven Gumbo!utaona kilele Cha desert mission na sio kingine Bali ni kile alicho andika Britannica kiganda"Kukuba Amanda"lazima avae manda proof za kutosha zisije zikapenya!!

Nawaza,Na connect dots,nafanya analysis Wala niandikayo hayana uhalisia Bali speculations TU kutokana na upepo unavyovuma!!
 
Je hii hali ya serikali kutumia wahuni na baadhi ya viongozi wa dini wa mlengo fulani kuwapinga wenye kutetea HAKI,

Je huu unaweza kuwa wakati wa kupata kiongozi ambaye si wa dhehebu la Sunni (Muslims ) wala Romani Catholic (Christians) maana taasisi zenye kutoa Rais tangu uhuru zinavutana kipindi hiki,

Huyu tulinde AMANI na viongozi wa dini wasichanganye siasa na dini,

Huyu hapana AMANI bila ya HAKI kutamalaki kwenye vyombo vyetu haiwezi kudumu.
RESILIENT KATO, enzo1988, The MoNA, Tresor Mandala, Ame, jay-millions, brAin cRacker, NAMBA MOJA AJAYE NCHINI na wengi wengi karibuni.
🙏🙏🙏
Zipo tetesi za mkono was baunsa wa kawe pale kushika akiungwa mkono na Luhaga mpina kwenye kampeni nadhani Kanda ya ziwa itaamua wao kushika kiti!!!

Ngoja tuone kama atasimama ndani ya kijani au nje ya kijani!!
 
Lengo la desert mission ilikua kumuingiza mtegoni mwenyekiti coz ukimkamata Lisu mtego ukimuacha uraiani aendelee mtego na lazima uta react,Sasa wamesha react na tayari mtego umezidi kuwanasa na hamna namna lazima wafanye uovu zaidi kunusurru kiti kisiende kwa wenyewe wenye mamlaka ziadi yao!

Hadi hapa tulipofika ni karibu na mwisho wa ukamilifu wa mission!!

Jaribu kufuatilia maonyo ya huduma ya kristo ya Jacob Steven Gumbo!utaona kilele Cha desert mission na sio kingine Bali ni kile alicho andika Britannica kiganda"Kukuba Amanda"lazima avae mada proof za kutosha zisije zikapenya!!

Nawaza,Na connect dots,nafanya analysis Wala niandikayo hayana uhalisia Bali speculations TU kutokana na upepo unavyovuma!!
Aisee mchana nikitulia nitasoma comment yako hii tena na tena
,🙏🙏
 
Mchezo ni kama ule ule ukiangalia kwa sasa haya matukio ni kama kuna mtu yuko nyuma kumkwamisha amchanganye akili apoteze dira alafu aingie ulingoni,ukiona habar za kigogo zilezile kaanza kumsifia mstaaf, huwaga kwenye hii michezo wahusika huonekana wako innocent sana na kupewa sifa za kijinga umbe ndio plan maker
 
Mimi niliposoma Uzi wa mwisho wa Tumia akili "usaliti wa jemedari wa marekani"Uzi huo haukudumu jukwaani!nashukuru mdau mmoja aliufanya kuwa comment kwenye Uzi wa "Raise ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!!

Sasa nikajiuliza desert mission ni ipi!!?kumbe ni juzi ndio nilijua kuwa "No reform no election" ndio mission yenyewe halafu Kuna Ile" Original plan Ina and out" nikakumbuka plan ya kwanza ilikua ni "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea america itatokea na huku"

SI nikaona Dr. Ntibazonkiza akajiuzulu umakam na nyota kutoka Brazil akapewa kuwa makam in the making yaani mteule kabla ya uchaguzi !ndio nikaelewa kumbe mission imeanza ku tick!!

Nadhani chawa wa mkojani fc wakashtuka na wao na kuja na hoja eti "No reform no election" ni mission ya kuitenga Zanzibar kwenye mchakato wa maamuzi!!japo too late hiyo move ikapuuzwa!!

Ni rasmi wenye mission wame my outsmart mwenyekiti Hadi crew yake imechanganyikiwa na kuanza kuumiza bila mpango maalum!!

Ngoja tuone!!

NAWAZA TU WAKUU!!NIPO TAYARI KUKOSOLEWA!!
 
Hii picha ndo nina anza kuielewa
 
Back
Top Bottom