goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
[emoji57]Sijui ndo maana nimeandika android
Hebu nitokeeee hapa na ma-android yako.
[emoji57]Sijui ndo maana nimeandika android
Kwa hiyo..!?Msishangae shule zimefungwa[emoji23]
Nipe jina lake kamili including model number
Shida ni ni nini vile
Sijajua mkuu, kuna mdau kashauri nijaribu ku-restore upya hiyo sehemu kwamba inaweza kujaShida ni ni nini vile
Yaani wewe unataka iweje!?Sijajua mkuu, kuna mdau kashauri nijaribu ku-restore upya hiyo sehemu kwamba inaweza kuja
Nilitaka nitumie nougat, though hata hii 6 iko poa tuYaani wewe unataka iweje!?
Shida yako nini kwenye hio simu!?
Ok...Nilitaka nitumie nougat, though hata hii 6 iko poa tu
unaikumbuka email iliyokuwa ikitumika katika ile simu??? Na ina mda gani tanhu iibiweKuna simu yangu niliibiwa nataka kuitrack
SawaWacheki mafu nd simu
Kiasi fulani, maelezo nikielewa tu ntaweza mkuuOk...
Unautaalam kidogo lkn ili nikupe njia nyingine official pia?
Naikumbuka namba ya simu tuuuunaikumbuka email iliyokuwa ikitumika katika ile simu??? Na ina mda gani tanhu iibiwe
Ukiona ivyo inakukumbusha ununue mpyaSimu yangu haionyesshi baadhi ya missed call, recieved na hata dialled ila tatizo zaidi ni kwenye mcd calls..
Huawei lua 22
Tuanze na mahitaji.Kiasi fulani, maelezo nikielewa tu ntaweza mkuu
Dah haiwezekani Asee Muhimu email tu Namba hamnaNaikumbuka namba ya simu tuuu
YapUkiona ivyo inakukumbusha ununue mpya
Email gibraly88@gmail.comDah haiwezekani Asee Muhimu email tu Namba hamna
Okay toa shaka Download app link hii hapa Bloquer un numéro : appels & SMS - Calls Blacklist – Applications Android sur Google PlayMie nataka kuzuia Sms tu, kublock namba ya mtu asinitumie sms
Simu ina mda gani imeibiwa maana inaeza kuwa imesha Flashiwa ikapoteza data