Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde.
Pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano:kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo
Mifano mingine ni
KuRoot simu za version 6.0,7.0 nk.
Kuzuia matangazo (ads)
Udukuzi (hacking)
Kupata sms za mpenz (spy)
Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf.
Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869
Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu Jf utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Kwa sasa ipi ni simu bora kwa bajeti ya lak 2?
 
Mkuu simu yangu inasumbua nikitaka kupakia picha inaniandikia kama ifuatavyo "Allow Gallery to Access Photos,Media and file on your Denice,Halafu kwa chini kuna maneno Deny_Allow"Msaada wako plz,ni Tecno W2
click allow hapo chini
 
Nina HTC DESIRE 820 haitaki kuingiza system update. Inazidownload fresh ila wakati zinaingia inakwama njiani halafu ina-reboot

Tatizo nn mkuu?
 
Mkuu simu yangu inasumbua nikitaka kupakia picha inaniandikia kama ifuatavyo "Allow Gallery to Access Photos,Media and file on your Denice,Halafu kwa chini kuna maneno Deny_Allow"Msaada wako plz,ni Tecno W2
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Hilo nalo ni tatizo?
 
naomba msaada simu yangu ni vivo y51 ukiwasha inaandika hifi & smart kwa chini inaandika android lkn haina play store na intanet inasoma E 3g haipandi.
Sawaa download Mobogeine kutoka google
 
Kuna simu ya ndugu yangu Tecno Y3+ mtandao unazingua sana yani hata ukapande juu ya mnara kitu inasoma E bado

Niliwapigia tigo wakatoa maelezo yao hapo nikafuata lakini bado na nilipopiga tena wakanambia hakuna tatizo lolote labda nicheki msaada kwingine
Wacheki mafu nd simu
 
Back
Top Bottom