Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

hata mimi

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
566
Points
500
hata mimi

hata mimi

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
566 500
Jamii forum mods naombeni muurudishe huu uzi wangu kwenye jukwa a la Tech na sio huku,
Mimi kitu kinanichanganya ni
1.multimedie message. yani txt ikiwa ndefu kidogo tu inaconvert to multimedia message lakini haitoki nikiituma. Hata txt ya kutumiwa nikitaka kuiforward haitaki
(Huwa inaniandikia kuwa ujumbe haukutumwa 7bu huduma haipatkan, utatumwa huduma ikiwepo)
2.majina (contacts) nikitaka kusevu (new contact) au kuhamishia (existed contact) kwenye simu (device) nafanyaje?

Samsung J1 ace

 
Random

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Messages
784
Points
1,000
Random

Random

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2017
784 1,000
Galaxy yangu haisom kweny pc napoiconnect kwa usb ili niweze kiaccess mafail yalio kweny cm ang
 
maishapopote

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
2,164
Points
2,000
maishapopote

maishapopote

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
2,164 2,000
Sasa Hapo Inategemea na Hitaji Lako ambalo Mimi siwezi kujua, Kwahyo Ili iwe kazi rahisi inabidi useme ni kitu gani kinakuboa mfano kma ulivyoelezea kuhusu meseji hapo nitajua nikuambie app ipi itakufaaa, Ila ukiniambia niolodheshe app zote itakuwa kasheshe maana Zipo nyingi na ni very Usefully...
mkuu nataka app za news kama rt and others, nataka app za kubrainstrom,app za vitabu personal development,na nataka nijifunze coding from scratch,na pia Hacking news,tech na science,naomba nipe list pls
 
calvind

calvind

Senior Member
Joined
Feb 5, 2016
Messages
164
Points
250
calvind

calvind

Senior Member
Joined Feb 5, 2016
164 250
Tafuta external memory ukipata ya kuanzia 4gb itakuwa poa sana. Kabla ya kununua install sd insight kweny simu kisha ifungue ukiona sd insight inasoma unkown hiyo usinunue.
Baada ya kuweka, vitu vyako hasa photo, music, video weka kweny hiyo external memory, hata camera yako i-set iwe inatunza picha huko, mitandao ya kijamii yote hakikisha vitu unavyodownload vinaingia kweny kweny external.
Pia download sd clear.
Mkuu natumia galaxy j3(2016)
Sioni option ya kuchagua storage itumike ya sd card, kwasasa inatumika internal memory ambayo ni 8gb na uki download app chache inaandika iko full
 
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
7,776
Points
2,000
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
7,776 2,000
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu kma spy, hack nkbali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Pia GB WhatsApp inapatikana hapa
GB WhatsApp
Smartphone yangu upata moto sana nikiitumia
 
P

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
579
Points
500
P

Psiteshio72

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
579 500
Pia vilevile eneo husika ambalo network ipp chini saaana mtandao unatumia mda mwingi kuscan
 
Isma le ibuh

Isma le ibuh

Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
39
Points
95
Isma le ibuh

Isma le ibuh

Member
Joined Oct 4, 2017
39 95
W4 ina pause na kuplay music na video yenyewe hata ukiwa unasikiliza muziki au kuangalia video ipa pause yenyewe tatizo nin
 
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,768
Points
2,000
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,768 2,000
Na infinix note 3 INA storage 16gb free lakin kila Niki download INA sema no enough space akati space IMO kubwa tu tatizo ni nn?
 
Zikwe

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
209
Points
225
Zikwe

Zikwe

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
209 225
mkuu nataka app za news kama rt and others, nataka app za kubrainstrom,app za vitabu personal development,na nataka nijifunze coding from scratch,na pia Hacking news,tech na science,naomba nipe list pls
Yah App zipo Nyingi sana Ila Kwa Haraka Haraka Em Jaribu Hizi
Kwa Ajili Ya Vitabu
-Amazon Kindle
-kobo Books
-Goodreads
Kwa Ajili Ya News Jaribu Pia Hii
-FlipBoard
Kwa Kucode jaribu Pia Hizi
-Solo Learn
-programming Hub
Encode
kwa Ajili Ya Hacking News na Mambo Madgo Madgo Pia Tumia Hii Geek App Hacking
 
Smart Guy

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
2,155
Points
2,000
Smart Guy

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2016
2,155 2,000
Wakuu simu yangu ikikonnektiwa kwenye computer haionekani/haitambuliki badala yake inaishia kucharge tuu. Tatizo nini.
 
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
2,593
Points
2,000
Juma chief

Juma chief

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
2,593 2,000
simu huawei g 750 inaniambia unfotunately seting has stoped..
no network na haifungui file lolote...
 
kafui daughter

kafui daughter

Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
66
Points
95
kafui daughter

kafui daughter

Member
Joined Feb 19, 2017
66 95
Mambo vp yaan betty ya cm yangu inazingua mbaya saiv ikifika %50 kama nimewasha data inacheza checha mpaka niweke kwenye chaj ila nikitoa betty inakuwa na %2 cjui shida nn alafu kama imevimba hv betty

Ni samsung j5
 
Tayo zeboss

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
450
Points
250
Tayo zeboss

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
450 250
Nimeenda Kuna Setting kulia kwake kuna .
.
.
Nikibonyeza hapo inaniandikia show system
Reset App preferences.chini ya Setting kuna
Babel fonts
Backup and restore
Boom player
Facebook nk msaada wako plz
Mkuu acha kupoteza muda copy contacts zako, picha zako na nyimbo zako ktk memoey card then restore hyo cm yako! Alf lete mrejesho.
 
Tayo zeboss

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
450
Points
250
Tayo zeboss

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
450 250
Nimeenda Kuna Setting kulia kwake kuna .
.
.
Nikibonyeza hapo inaniandikia show system
Reset App preferences.chini ya Setting kuna
Babel fonts
Backup and restore
Boom player
Facebook nk msaada wako plz
Mkuu acha kupoteza muda copy contacts zako, picha zako na nyimbo zako ktk memoey card then restore hyo cm yako! Alf lete mrejesho.
 

Forum statistics

Threads 1,326,628
Members 509,543
Posts 32,228,808
Top