Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Simu yangu imepoteza rangi /colour
Tatizo nn
Tatizo nn
Poa so itagharim sh ngap???kama ni sprint na inaleta invalid means unatakiwa ku unlock ur device... samsung yenye blacklisted imei huwa ni emergency calls na kama imecorrupt efs with unknown baseband huwa ni no service na hakunaga invalid, invalid sim means unaccepted sim since the phone accepts sprint simcard... I can unlock it bila kuja nilipo yaan unastay ulipo, ntakachohitaji ni wewe kuwa na pc tu kisha unipe access to ur pc thru anydesk/tv/Uv nk...kama uko ready to pay just contact me
30000/=TSHSPoa so itagharim sh ngap???
Acha Kuitumia Hiyo App ya simu as Default sms app, Ingia Playstore downlod *TEXTRA* na ifanye iwe default app inablock sms kwenda MMsNawezaje kuongeza ukubwa wa sms kwenye simu yangu maana nikiweka maneno kidogo tu inachange to MMS na simu ni galaxy note 5
Yaani nikiwasha data tu matangazo yanakuwa mengi.taja usaidiwe
thanks mkuu,kiukweli nimeipenda sana hii textra,sijajua usalama wake ila user interface yake iko poaAcha Kuitumia Hiyo App ya simu as Default sms app, Ingia Playstore downlod *TEXTRA* na ifanye iwe default app inablock sms kwenda MMs
Hii imenisaidia sana.....Acha Kuitumia Hiyo App ya simu as Default sms app, Ingia Playstore downlod *TEXTRA* na ifanye iwe default app inablock sms kwenda MMs
Kama unaofic inalendeza zaidi nifanyekuileta....30000/=TSHS
karibuKama unaofic inalendeza zaidi nifanyekuileta....
Pande za WAP unapatkanakaribu
kibahaPande za WAP unapatkana
Iko Vizuri Pia Kwenye Usalama Mkuu kwa Hiloo Nawapa 5 Starthanks mkuu,kiukweli nimeipenda sana hii textra,sijajua usalama wake ila user interface yake iko poa
Mkuu heb nipe app nyingine ambazo kiukweli ni very useful kwenye kila angleIko Vizuri Pia Kwenye Usalama Mkuu kwa Hiloo Nawapa 5 Star
Mkuu simu yangu ilirestart upya kabisa Na kila ktu kilianza upya, sasa ntawezaje kurudsha picha zanguUkiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.
Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869
Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Sasa Hapo Inategemea na Hitaji Lako ambalo Mimi siwezi kujua, Kwahyo Ili iwe kazi rahisi inabidi useme ni kitu gani kinakuboa mfano kma ulivyoelezea kuhusu meseji hapo nitajua nikuambie app ipi itakufaaa, Ila ukiniambia niolodheshe app zote itakuwa kasheshe maana Zipo nyingi na ni very Usefully...Mkuu heb nipe app nyingine ambazo kiukweli ni very useful kwenye kila angle
taja cmu husika cyo OS versionNaomba msaada nataka niroot naugat 7.0