Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Mifano mingine ni KuRoot simu za version 6.0,7.0 nk. Kuzuia matangazo (ads), Udukuzi (hacking), Kupata sms za mpenz (spy).

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Endelea kuuliza
 
Ukiingia tu andika jina LA simu yak, upate namna ya kuizuia simu hyo hata ukilala ndani nayo ukaicha nje.
Kumbuka hapa tuna lock simu ambayo unayo mkononi tu kwa ulinzi mkali wa anti theft.
Kama ulushaibiwa simu,unataka kuipata, pili unataka locations, na mambo mengine ambayo yatakugharimu utanipigi a 0753093869.
Huduma ninazotowa ni 100% Una prove na kureply papo hapo
 
ndugu hakuna kitu kinacho weza kuipata simu yako zaidi ya IMEI.kuna madeveloper na programmer wengi tu wakatoa hizo software.
 
Tatizo kubwa ndo hili, developer gani unayeweza kudi s connect Google?
 
Sio kila mtu ni programa, sio kila programa anaweza kaz fulani
 
Tatizo kubwa ndo hili, developer gani unayeweza kudi s connect Google?
NINA 6 YEAR YA MOBILE.sijaona software hizo unazo zisema hapa labda uwadanganye watu.zaidi ni IMEI
 
Back
Top Bottom