Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Msaada;simu ina internal memory 8gb,nafasi iliyotumika hadi sasa hivi ni mb 430,tatizo lake ni kuwa ukipiga picture inaleta maneno "storage is note enough", ukitaka pia kuinstall app kweny play store tatizo linajitokeza hilohilo.Licha ya kureset hiyo simu tatizo bado linaendelea.
Msaada please
Basi unahitaji msaada zaid, kwanza juwa 8gb, 4gb ndo internal yako ani download yako, kwa hyo tazama sasa umebakiwa na free space kias gani?
 
Majibu hovyo hayana ujazo....bado muuliza swali anapata shida kuelewa.
Psiteshio72 jitahid uwe specific.
Mweleze kitaalam hata kma ana kuchallange atoke na kitu...then mwisho wa siku unaweka tangazo la blog yako.
Mkuu mimi sina blog, pili hakuna niliyemjibu hovyo
 
Kuna muda simu inapata moto then inajirestart yenyewe, Samsung S5. Tatizo laweza kuwa nini?
 
Kuna muda simu inapata moto then inajirestart yenyewe, Samsung S5. Tatizo laweza kuwa nini?
Km una antivirus kweny simu itoe. Kuna baadhi ya app hufanya simu kupata moto. Angalia apps zingine zinakula moto kwny simu uziunstall. Simu kujirestart ni kujipoza au kufunga app zinazosabibisha kufanya simu ichemke
 
Tecno y3&huawei y360 zinanizngua haswa katika kufanya SD card kuwa storage&SD card ni nzima kabisa.So unakuta simu Internal memory inajaa,simu inagoma hata kudownload
 
Back
Top Bottom