Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

Watengenezaji wa ic za amplifier wanakupa michoro ya circuit husika mkuu
Kazi ni kujitahid kufahamu extra componet
Nakukubali sana broo
dc503f2c77068866447d61b16ae2e042.jpg
 
Nakupata fresh mkuu

Mimi nataka nijifuze zaid kuhusu switch mode maana transformer kuzipata ni garama sana

Hio picha hapo juu ni amplifier
Natamani nipate mchoro wa switch mod ambyo output iwe na 30-0-30 v
Ina sound nzurii sanaaView attachment 1773134View attachment 1773136View attachment 1773138View attachment 1773137View attachment 1773135
hongera aisee, mda sasa wa ku invest kwenye power supply nzuri, dual switching-smps supply ya walau +/-12Vdc, 2A

umesema unahitaji ya +/-30V smps, inabidi

a. iwe ya low noise (AC na DC)
b. ya high wattage (high current ) ku run speakers za low Ohms (impedance) bila kukwaruza ,
c. dual power mode, kuifanya amplifier iwe fidel (Hi Fi)

inayotune output voltage ni iyo IRFXX IC, inayo affect output current ni izo inductors upande wa output na size ya izo transformer (flyback)

kelele (AC noises) zinapunguzwa na izo AC line filters upande wa input kabisa (line capacitors na common-mode inductors)

output pia una capacitors za kutosha kupunguza DC noises

izo inductors za output(toroidal cores) hua ni za kusuka , jipange kwenye iyo flyback transformer, coils zake za kusuka nene kupata output watts kubwa , na ukinunua bei ni mkasi
 
Kaka
Ahsante kwa kuniongezea kitu
Karibu tusongeshe ujuzi
 
Asante sana kaka ngoja nifanyie kazi
 
Hellow mambo vipi,

Kama ilivyo ada ya urafiki kwa Watanzania. Kwa ujuzi wangu kiasi nilionao na dhati kabisa ya moyo wangu ,nimeamua kuanzisha uzi hu
Kwako kijana mwenzangu unaependa kujua kusuka na kurekebisha matatizo madogo na makubwa ya audio amplifier kiujumla ni eneo lako.

Karibu tujumuike kama familia. Kama wewe ni fundi na unatamani kujua basi karibu. Kama unafahamu ni sehemu yako pia kuwapa elimu na ku share ideas zetu.

Karibuni

Kwa kuanza tu,

Amplifier ni device inayotumia umeme kukuza nguvu ya sauti. Mziki unaozalishwa na vifaa vingi vya sauti(signals) hua ni mdogo sana
Mfano wa vifaa hivi ni gitaa,microphone (maiki) na vinginevyo. Kwa hivyo inasukwa amplifier ila kuikuza nguvu ya sauti ila ili isikike kwa nguvu kila mtu asikie kikamilifu

Kutaka kujua faida za amplifier hebu pata picha upo kwenye tamasha kama fiesta au wasafi festivals. Unaona vile sounds inakita kwenye speaker. Lakini amini kwamba ile sauti kama isingepita kwenye amplifier basi ungeisikia kama unavyosikiliza music kwenye earphone. Hivyo basi kwa namna moja huenda umenielewa concept ya amplifier. Hivyo karibuni tukwamue ujuzi wetu kwenye level nyingine

Vifaa ambavyo utahitaj kua navyo ni
Soldering gun
Soldering wire(mtofu)
Multmeter
Na circuit board ya kusukia.

RIP magufuli
Babu unatuacha njiani sasa
 
Back
Top Bottom