Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

Kwahyo basii kwenye smps umeme 220v ac zikisha ingia unafikia kwenye diode
Diode kazi yake ni kugeuza umeme kutoka ac kwenda dc kwa direction moja
Kwahyo basi umeme unaotoka kwenye diode hizi hua ni dc ila hauwi dc pure
Yaan namaanisha hauwi umeme mnyoofu kabisa kwasababu
Umeme wa ic ni umeme unaotembea kwa kupanda na kushuka ila dc ni umeme unaotembea kwa mnyoofu mmja bila waves(mawimb)
Kwahyo lazima ziwekwe capacitors ili ku balance na kuuwa hizo waves za current (ntaielezea baadae jindi inavyouwa )
Kwahyo bas umeme jliotoka kwenye diode hiyo ukishapita kwenye capacitors hapo umeme unakua umekwisha tulizwa na hua dc pure kabisa
Lakini kwann inaitwa smps ni kwasababu umeme ukitoka hapo huingizwa kwenye transistors maaluumu kwajili ya kufanya oscillating na hapa ndipo jina la power supply hi linapokuja
Transistor hizi huitwa power switch transistor
Hizi huchukua umeme huo na kuswitch kwa sekunde kuingia kwenye transformers ili transfom hiyo itoe volts chache ila kwa matumizi mengi

..vuta pumzi kidogo kisha nikuelezee vyema kuhusu hilo
Mfano kwenye amplifier kuna kua na raman zako kadhaa umezisuka Kwahyo transformer hiyo ndio itagawa umeme kwa viwango tofauti tofauti unaweza kuta transformer inatoa volt 12v 25v na 6v
Lakini yenyewe iliingiza 230v pekee
Good explaination
 
Kama hyo imegharimu kias gan

Wakat naitengeza nlikua kwenye ofsi ambayo tulikua mafundi wawili..... na vifaa vyote vilikuwa pale Kwahyo siwez kutaja actually cost labda nkupe componets listvalafu upige hesabu
Wakathuo kumbuka hi ni iringa
Bei ya vitu itatofautiana sana na mikoa mingine
Kama upo dar unaurahisi zaidi
 
Kwahyo basii kwenye smps umeme 220v ac zikisha ingia unafikia kwenye diode
Diode kazi yake ni kugeuza umeme kutoka ac kwenda dc kwa direction moja
Kwahyo basi umeme unaotoka kwenye diode hizi hua ni dc ila hauwi dc pure
Yaan namaanisha hauwi umeme mnyoofu kabisa kwasababu
Umeme wa ic ni umeme unaotembea kwa kupanda na kushuka ila dc ni umeme unaotembea kwa mnyoofu mmja bila waves(mawimb)
Kwahyo lazima ziwekwe capacitors ili ku balance na kuuwa hizo waves za current (ntaielezea baadae jindi inavyouwa )
Kwahyo bas umeme jliotoka kwenye diode hiyo ukishapita kwenye capacitors hapo umeme unakua umekwisha tulizwa na hua dc pure kabisa
Lakini kwann inaitwa smps ni kwasababu umeme ukitoka hapo huingizwa kwenye transistors maaluumu kwajili ya kufanya oscillating na hapa ndipo jina la power supply hi linapokuja
Transistor hizi huitwa power switch transistor
Hizi huchukua umeme huo na kuswitch kwa sekunde kuingia kwenye transformers ili transfom hiyo itoe volts chache ila kwa matumizi mengi
I like it, una theory na practical, maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom