Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,413
2,000
Karibuni
Screenshot_20210524-212952-1.jpg
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,378
2,000
Hizo symbol za capacitor mbona zinatofautiana? Hebu nipe elimu kidogo.

Hizo zenye mistal miwili sawa ni ceramic capacitors
ambazo unaweza kuzifunga vyovyote bila ya polarity yaan unaiweka tu
IMG_4221.jpg

Kwa lugha nyingine ni non polarized capacitors

Ila hizo zenye mistar miwili ila mmoj wame shed kivuli ni polarized capacitors
Ambazo unapoifunga lazima uzingatie polarity na ukiweka tofauti itaungua au kukupa majibu tofauti ikilinganishwa na wapi ilipowekwaUmenielewa? Au nijazie
 
That Gentleman

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,713
2,000
Hizo zenye mistal miwili sawa ni ceramic capacitors
ambazo unaweza kuzifunga vyovyote bila ya polarity yaan unaiweka tu
View attachment 1894114
Kwa lugha nyingine ni non polarized capacitors

Ila hizo zenye mistar miwili ila mmoj wame shed kivuli ni polarized capacitors
Ambazo unapoifunga lazima uzingatie polarity na ukiweka tofauti itaungua au kukupa majibu tofauti ikilinganishwa na wapi ilipowekwaUmenielewa? Au nijazie
Shukrani mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom