Changamoto Umeme wa solar kuwah kuisha

Changamoto Umeme wa solar kuwah kuisha

Nizzoh824

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2016
Posts
241
Reaction score
146
Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel Wat 100, betri N 80 la unga, Inverter 200 W na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.

Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo huashiria low charge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye charger controller kama inverter.

Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha.
 
Pole kwa changamoto.......

Kama upo sehemu pana huduma muhimu, jitahidi ujisajili ufunge huu umeme wa rea.... bei poa sana, japo unaweza kuchelewa kukufikia kulingana na idadi maombi ya hapo mtaani kwenu ama umbali wa nguzo .......

Mengine wataalam wa solar watakuja kukupatia muongozo
 
Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Umeme wa Solar uko Overrated, ni Mchongo wa kibiashara tu
 
Kama vyote ni vizima fumua nyaya kuna leakage au jaribu kuweka battery yako sehemu kavu hata ikiwezeka itoe kwanza uifute yote ili hizo terminal zijitegemee coz ni kama kuna kaunyevu flan kanasababisha mvutano wa hasi na chanya. Au chomoa nyaya za kusupply power {output} kwa masaa matatu ili battery ishke chaji i mean nyaya za kutoka kwa battery kwenda kwa inveter au ipunguzie mzigo punda amelemewa. 80watts inawasha mataa mangapi, tv inch ngap, na mizigo mingne kama mzigo ni mdogo make sure umechange hako ka inveter kamepatwa na mshtuko yaan kana short.
 
Vifaa vingi vya Solar Sokoni ni feki hasa batteries.
Bado hata mafundi wetu ni changamoto wanafunga bila kuzingatia capacity ya kifaa chenyewe.
Ndani ya miaka minne nimenunua betri za Solar tatu na kwa sababu ya kuharibika.
Nyingi zinafanya kazi miezi mitano tu zinaanza mawenge
 
Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Ili uinjoy solar inatakiwa uwekeze mzigo ,sasa N80 na panel ya 100Watts kweli unataka ikae muda mrefu? Umeme wa Solar ni mzuri sana ila unatakiwa uwe na mzigo hasa ili ufurahie.

Kwa mfano umejaza pannel za watts 200(Pieces 20) nusu paa zima ,halafu una batery za RITA za N200 kama 15 ,hivi kweli utahitaji Tanesco au utalalamika kwamba umeme unawahi kuisha? Nikiwa na mzigo nafunga kama hivyo halafu Tanesco naiweka kama backup tu kwenye Taa za nje Kubwa Usiku na kurun friji/majiko/motor za geti.

Ila Taa za ndani ,kuchaji simu ,TVs ,Radio zote ni Solar 24/7
 
Solar panel fake kapime
 
Kama vyote ni vizima fumua nyaya kuna leakage au jaribu kuweka battery yako sehemu kavu hata ikiwezeka itoe kwanza uifute yote ili hizo terminal zijitegemee coz ni kama kuna kaunyevu flan kanasababisha mvutano wa hasi na chanya. Au chomoa nyaya za kusupply power {output} kwa masaa matatu ili battery ishke chaji i mean nyaya za kutoka kwa battery kwenda kwa inveter au ipunguzie mzigo punda amelemewa. 80watts inawasha mataa mangapi, tv inch ngap, na mizigo mingne kama mzigo ni mdogo make sure umechange hako ka inveter kamepatwa na mshtuko yaan kana short.
Asante kiongozi
 
Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Hapo toa maelezo kuhusu betri yako,na vifaa gani (appliances) unazotumia yaani betri yako ina Ah ngapi?
 
Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel wat100, betr N80 la unga, Inverter 200w na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah kuisha moto na vina mda wa miez kama mitano tu.
Changamoto iliyopo nikwamba yani kipindi hiki Inverter inawah kupiga kelele inayo hashiria low churge ila taa zinawaka kawaida kwasababu zimeungwa direct kwenye betri sio kutoka kwenye chuger controller kama inverter. Hivyo nilikua naomba msaada kipi kinaweza kua na shida kati ya vifaa hvyo kwa wenye ujuzi na umeme wa sola ni hilo tu. Nawasilisha
Ni sundar hiyooo!!!

Hapo betri ishakufa hiyo
 
N80 labda ungekuwa nazo 4 na pannel hizo za watt 100 2 hapo unge enjoy sana
 
kilichoua hiyo betri ni invetor, invetor inakomba moto simchezo cha muhimu change matumizi yako yote yawe Dc na sio Ac na yaanzie ktk power controler
 
Ili uinjoy solar inatakiwa uwekeze mzigo ,sasa N80 na panel ya 100Watts kweli unataka ikae muda mrefu? Umeme wa Solar ni mzuri sana ila unatakiwa uwe na mzigo hasa ili ufurahie.

Kwa mfano umejaza pannel za watts 200(Pieces 20) nusu paa zima ,halafu una batery za RITA za N200 kama 15 ,hivi kweli utahitaji Tanesco au utalalamika kwamba umeme unawahi kuisha? Nikiwa na mzigo nafunga kama hivyo halafu Tanesco naiweka kama backup tu kwenye Taa za nje Kubwa Usiku na kurun friji/majiko/motor za geti.

Ila Taa za ndani ,kuchaji simu ,TVs ,Radio zote ni Solar 24/7
Tatizo gharama Ni Kubwa sana.
 
Vifaa vya kampuni gani haya ma inverte ya 30 elfu ni hovyo kabisa..
Usitumie inverter tumia vifaa vinavyotumia umeme wa solar moja kwa moja.
Halafu pia betri la N80 unatumia katika vifaa vipi na vipi na kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom