Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

Kwahyo basii kwenye smps umeme 220v ac zikisha ingia unafikia kwenye diode
Diode kazi yake ni kugeuza umeme kutoka ac kwenda dc kwa direction moja
Kwahyo basi umeme unaotoka kwenye diode hizi hua ni dc ila hauwi dc pure
Yaan namaanisha hauwi umeme mnyoofu kabisa kwasababu
Umeme wa ic ni umeme unaotembea kwa kupanda na kushuka ila dc ni umeme unaotembea kwa mnyoofu mmja bila waves(mawimb)
Kwahyo lazima ziwekwe capacitors ili ku balance na kuuwa hizo waves za current (ntaielezea baadae jindi inavyouwa )
Kwahyo bas umeme jliotoka kwenye diode hiyo ukishapita kwenye capacitors hapo umeme unakua umekwisha tulizwa na hua dc pure kabisa
Lakini kwann inaitwa smps ni kwasababu umeme ukitoka hapo huingizwa kwenye transistors maaluumu kwajili ya kufanya oscillating na hapa ndipo jina la power supply hi linapokuja
Transistor hizi huitwa power switch transistor
Hizi huchukua umeme huo na kuswitch kwa sekunde kuingia kwenye transformers ili transfom hiyo itoe volts chache ila kwa matumizi mengi

..vuta pumzi kidogo kisha nikuelezee vyema kuhusu hilo
Mfano kwenye amplifier kuna kua na raman zako kadhaa umezisuka Kwahyo transformer hiyo ndio itagawa umeme kwa viwango tofauti tofauti unaweza kuta transformer inatoa volt 12v 25v na 6v
Lakini yenyewe iliingiza 230v pekee
Nina saket ya 12vdc to 20± or more

Nisaidie smps ya 220v to dual 30 kwa ajili ya amp
 
Nikijua siwezi tena nunua mchina....nitasuka mwenyewe

image-2021-04-08-1:07:06-536 PM.jpg

Kama yakwangu hapa
Inakita mziki balaa
Ni kuamua tu
 
Now we go....
Baada ya kupata umeme tunakuja kwenye amplifier yenyewe
Ambayo msukaji yani wewe mwenyewe utaamua usuke kwa kutumia nini yaani ic Au transistor
Nikukumbushe tu kua unapoanza kusuka lazima uwe na imaginations kichwani ya aina ya sound unayoitaka
Kisha ndio uta select aina ya circuit (tuite ramani) unayotaka
Na hizi ic zimetofautiana uwezo
Kwahyo kabla ya kusuka utachagua ic na kila ic ina specification zake yaani ina mashart na maelezo yake kuihusu yenyewe
Kwamfano kuna ic kama TDA2050 na nyingine TDA 7379 hizi zoote ni za amplifier lakini kila moja inauwezo wake na mashart yake
Kwamfano hiyo 2050 inaingiza hadi volts 25 na inakupa hadi watts 50 lakini ni inakupa channel moja tu (kuhusu channel ntakuelezea baadae)
Lakini hiyo 7379 inakupa channel 4 ila ina watts 38

Sasa basi kabla ya kusuka kujua unachohitaji ni kitu cha muhimu sana
Kwahivyo basi ni muhimu kuisoma ic husika kabla yakuanza kuitumia il kuijua kabla yakuanza kuisuka
Hiyo itakusaidia usiunguze na kuiharibu
Na hiyo itakupa hasara sana.
Kwa wale wenye android wanaweza ku download datasheet za ic husika kwa kuandika neno pdf mbele kisha ita downtown
Kwamfano
Andika Tda 2030 pdf download ukisha download itakuja mfano wa kitabu kisha utakisoma ili kusijua
Na waweza download nyingi ili kuzijua kwa wingi

TDA 2050
.......2030
........7379
........2040
........2003

KA2206
LA4440
na nyinginezo nyiiiiingi mno
(Utachagua wewe tu kulingana na matumizi yako)
Kwanini nasema kulingana na matumizi yako

Kwa mfano wewe una sora hizo tda 2050 zinaweza kua sio rafiki kwako kutokana na umeme wako
Kwahyo itakubid utumie za single power supply ingawa zote ni ic na zote zina fanya jazi moja.
 
Mkuu kama nimekuelewa, kwamba unaweza kuchukuwa power suply kutoka ktk deck iliokufa na kuitumia kutengenezea amp? Mwisho wa power supply ni pale wire zinapotoka kwenye transformer kwenda kwenye cirket?
 
Yess unaitumia hata ile pia wala haina shida
 
Mkuu kama nimekuelewa, kwamba unaweza kuchukuwa power suply kutoka ktk deck iliokufa na kuitumia kutengenezea amp? Mwisho wa power supply ni pale wire zinapotoka kwenye transformer kwenda kwenye cirket?

Muhimu uwe umezi mark kujua +_
 
Now we go....
Baada ya kupata umeme tunakuja kwenye amplifier yenyewe
Ambayo msukaji yani wewe mwenyewe utaamua usuke kwa kutumia nini yaani ic Au transistor
Nikukumbushe tu kua unapoanza kusuka lazima uwe na imaginations kichwani ya aina ya sound unayoitaka
Kisha ndio uta select aina ya circuit (tuite ramani) unayotaka
Na hizi ic zimetofautiana uwezo
Kwahyo kabla ya kusuka utachagua ic na kila ic ina specification zake yaani ina mashart na maelezo yake kuihusu yenyewe
Kwamfano kuna ic kama TDA2050 na nyingine TDA 7379 hizi zoote ni za amplifier lakini kila moja inauwezo wake na mashart yake
Kwamfano hiyo 2050 inaingiza hadi volts 25 na inakupa hadi watts 50 lakini ni inakupa channel moja tu (kuhusu channel ntakuelezea baadae)
Lakini hiyo 7379 inakupa channel 4 ila ina watts 38

Sasa basi kabla ya kusuka kujua unachohitaji ni kitu cha muhimu sana
Kwahivyo basi ni muhimu kuisoma ic husika kabla yakuanza kuitumia il kuijua kabla yakuanza kuisuka
Hiyo itakusaidia usiunguze na kuiharibu
Na hiyo itakupa hasara sana.
Kwa wale wenye android wanaweza ku download datasheet za ic husika kwa kuandika neno pdf mbele kisha ita downtown
Kwamfano
Andika Tda 2030 pdf download ukisha download itakuja mfano wa kitabu kisha utakisoma ili kusijua
Na waweza download nyingi ili kuzijua kwa wingi

TDA 2050
.......2030
........7379
........2040
........2003

KA2206
LA4440
na nyinginezo nyiiiiingi mno
(Utachagua wewe tu kulingana na matumizi yako)
Kwanini nasema kulingana na matumizi yako

Kwa mfano wewe una sora hizo tda 2050 zinaweza kua sio rafiki kwako kutokana na umeme wako
Kwahyo itakubid utumie za single power supply ingawa zote ni ic na zote zina fanya jazi moja.
Unfortunately tda2050 zilizoko bongo sio zile OG ...ikumbukwe kuwa wanaotengeneza tda2050 ni wengne ..kwa hio kinachotokea ni upungufu kidogo wa nguvu hizi tunazonunua mtaani huku zina peak kwenye 30w so true rms at 18v± ni kama 15w haina tofauti na tda7379 labda ubahatike pata original au utumie lm1875 instead

50w as data sheet inavosema ni peak power ambayo unaweza ipata kwa sekunde moja tu rms ya ic original ni 25w au 32w at 10% thd

Na tda7379 at 18v inatoa 8w times 4 au uki bridge channel zote inakuwa 15w times 2 ,,, peak power at 10% T.H.D ni 38w kwa kila channel mbili
 
Back
Top Bottom