Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,886
2,000
Nipo singida mkuu garama ni kulingana na wewe unataka ya ukubwa gani mkuu afu kuhusu ubora sijawahi pata malalamiko kwa amp nazosuka mm kwahiyo usijali kua na amani mkuu we unahitaji ya ukubwa gan na unaenda kutumia kwenye spika za aina gani mkuu
mimi nina spika zangu, radio imekufa hivyo nataka kuzitumia hizi spika, tunafanyaje 0715 378899
20200525_102021.jpg
20200525_102001.jpg
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,378
2,000
mimi nina spika zangu, radio imekufa hivyo nataka kuzitumia hizi spika, tunafanyaje 0715 378899 View attachment 1858502 View attachment 1858503

Mkuu naweza kuziona speaker zake?
Mambo ni birudani sana
Hio tunatoa circuit zoote za ndani inabaki transformer tu alafu tunaweka mashine yetu
Na mwisho itakua na mp3 player fm na Bluetooth ukitaka
Na mwisho kabisa inaweza kuwekwa video player
 
prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,886
2,000
Mkuu naweza kuziona speaker zake?
Mambo ni birudani sana
Hio tunatoa circuit zoote za ndani inabaki transformer tu alafu tunaweka mashine yetu
Na mwisho itakua na mp3 player fm na Bluetooth ukitaka
Na mwisho kabisa inaweza kuwekwa video player
radio limenitia machungu nimelitoa nikabaki na spika tu
 
That Gentleman

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,713
2,000
Inategemeana na specification zilizotumika kutengeneza amp
Zingine inaweza nyingine haiwezekani
Shukrani mkuu.

Hapa nina maswali ya kutosha, naomba usinichoke.

SWALI
Kuna bluetooth speaker zinaitwa JBL, ni ndogo ila zinapiga sana ukilinganisha na bluetooth speaker nyingine (na hata gharama yake imechangamka)
so kinachofanya ipige kiasi hicho ni amp tu au kuna tech nyingine??
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,378
2,000
Shukrani mkuu.

Hapa nina maswali ya kutosha, naomba usinichoke.

SWALI
Kuna bluetooth speaker zinaitwa JBL, ni ndogo ila zinapiga sana ukilinganisha na bluetooth speaker nyingine (na hata gharama yake imechangamka)
so kinachofanya ipige kiasi hicho ni amp tu au kuna tech nyingine??

Sorry mkuu nlikua nnakazi sija reply kwa muda.
Pia usichoke kuuliza!
Kuhusu jibu ni kua
Kwenye sound system kuna vitu huitwa operation amplifier au (op amp)
Ambapo mziki hupita Kwanza kwenye hiyo circuit kisha kwenye amplify
Sasa hapo kwenye opamp kila mtu hu tengeneza mzik wa design anayotaka yeye
Ndio maana home theater nazo zinamziki wake wa tofauti maana yake ic zinazo process ile signal kabla yakuingia kwenye amplify hua zinakua zimetengenezwa kwenye computer (programming)
Kwahyo mchawi ni opamp
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom