dawa ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  2. appoh

    JamiiForums Tanzania Kama unaitaji dawa ya bawasir soma hapa

    Dawa ni uhakika mia kwa matokeo ni haraka inakufikia popote ulipo au ukiifuata ni sawa Dawa ni ya kupaka kwa bawasir zote Dawa ni asil kabisa Haina maumivu inaondoa maumivu miwasho uvimbe Tuko dsm tunatuma popote ndan ya tz hakuna aliepewa ikashindwa kumsaidia mawasiliano whats app na...
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI . Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI. Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Tezi dume

    Msaada kwenye tuta wanajamvi Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea Asanteni kwa ushirikiano
  5. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino gharama mia tano imeniponesha

    Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni. Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ozempic ya kupunguza uzito imetufikia bongo?

    Dawa hii imekuwa mkombozi sana kwa watu wanaotaka kupunguza uzito. Kwa sababu ya bei ilikuwa inapatikana kwa matajiri tu. Karibuni walisema brands mbalimbali za bei rahisi zitaanza kupatikana. Zimetufikia maana naona na mastaa wa bongo wanaanza kukonda ghafla.
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ua la Kitenge (Coleus plant): Dawa ya vidonda ndugu na matatizo ya ngozi

    Ua la kitenge ambalo kwa kizungu laitwa COLEUS PLANT, ni mojawapo ya maajabu mengi katika tiba ya msradhi sugu. Inawezekana unalifahamu pia unalo katika bustani yako. Jani hili linatibu maradhi mengi. Lakini leo ninakupa moja ya maradhi sugu linavyoweza kutibu VIDONDA 1. Donda ndugu...
  8. Owen chimela

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya asili au dukani inayotibu jicho sugu

    Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukuza nywele kama za Tundu Lisu?

    Asalam waleykum......Wakuu nataka nifuge nywele kama za Tundu Lisu naombeni ushauri wenu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa dawa ya chemo Muhimbili kwa wagonjwa wa kulazwa

    Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

    Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi. Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri. We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi. Tuje kwa huyu afisa wa nyama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutibu UKIMWI

    Nimetafakari sana kisha nikajiuliza, inakuwaje leo hii Teknolojia imekua sana kuliko hata miaka hiyo ulipogunduliwa UKIMWI lakini bado dawa ya kutibu kabisa UKIMWI haijapatikana? Naomba mchango wenu wa fikra.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

    Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
  15. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Kuvuta Wateja kwenye Biashara Mpya

    Habari wakuu. Nimekuja leo nikiwa na maswali mawili kuhusu biashara yangu mpya ya restaurant/mkahawa. Swali la kwanza linahusu biashara yenyewe. Nimefungua restaurant wiki mbili zilizopita baada ya kuwahi kufanya biashara kama hii miaka kadhaa nyuma lakini sikufanikiwa sana. Safari hii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha pombe ya nini wakati hata za malaria tu watu wanahangaika kuzipata.

    Eti wanahangaika kuleta dawa za kuacha kunywa pombe. Huu ni kupoteza fedha za walipa kodi. Dawa za malaria ni tatizo kubwa huko vijijini.👇
  17. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania Yafahamu matumizi ya dawa ya Paraforce

    Washikaji eeeh Leo ninatamani niwape taarifa kidogo kuhusu dawa imayoitwa PARAFORCE. Sasa hii ni dawa inayotumika kuua magugu, nyasi na hata kukausha mazao wakati wa mavuno mfano zao la PAMBA. Paraforce ina ingridient inayoitwa paraquat dichloride viwango hutofautiana na muuzaji. Dawa hii...
  18. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya miguu kuwaka moto

    Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
  20. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania NILIPOKUA Mkoa X nikapatiwa Dawa ya Maajabu kwa ajili ya Matibabu ya Haraka, Nikapona

    Nilipokua Mkoa X Mwaka Z, ghafla tu nikaanza kuumwa ugonjwa fulani siuelewi ulipotokea mpaka nikaanza kuhisi labda nishapigwa kipapai au namna gani vile maana ule Mkoa unasifika kwa hayo masuala ya kuroganarogana tu, usiku hakulaliki mchana hakukaliki na haakutembeleki baridi sio baridi joto sio...
Back
Top Bottom