kingo

Kobayakawa Hideaki (小早川 秀秋) (1577 – December 1, 1602) was the fifth son of Kinoshita Iesada and the nephew of Toyotomi Hideyoshi. He was gained the rank of Saemon no Kami (左衛門督) or in China Shikkingo (執金吾) at genpuku and held the court title of Chūnagon (中納言), Hideaki was also called Kingo Chūnagon (金吾中納言).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni, lakini hakuna kinachoendelea

    Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

    Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni. Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha...
  4. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Waziri Rajab Salum Kingo mtu wa karibu kwa Samia. Je atamaliza muda?

  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini yawashauri wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo

    Serikali kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini imepata mwarobaini wa kupunguza majanga kwenye migodi kwa kuwaelimisha wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo. Akizungumza leo Julai 26, 2024 katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Tume ya Madini kutoka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya bandari kubinafisishwa kwa miaka 100, ninamuomba radhi chifu Mangungo

    NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO ____________________ Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

    Hizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital. Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza. Samia Suluhu Hassan...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Porojo za Mzee James Gayo (Mr. Kingo): Ugoko aimwaga klabu ya wapambanaji

    UGOKO AIMWAGA KLABU YA WAPAMBANAJI Ugoko aliogopa umande: Alikimbia shule na kuingia kwenye uchuuzi wa samaki akiwa kijana mdogo. Baadae alipobaini kuwa ana kipanji cha kunengua, aliacha biashara ya samaki na kuwa mcheza shoo kwenye mabaa mbali mbali. Mwenyewe anadai, pesa za kutunzwa na walevi...
  9. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Bomba za silva kwa ajili ya kingo wanauza wapi na bei ikoje? Plz

    Habari zenu wadau. Nauliza zile bomba zinazowekwa katika nyumba sehemu za ngazi au kingo kwenye balcony na sehemu kama hizo zinaizwa wapi na bei yake ikoje? Bomba hizi hujengewa kwa ajili ya kuzuia mtu asiweze kubambikia upende mwingine mfano kwenye nyumba za ghorofa hizi huwekwa balcony na...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania KINGO: Aweka wazi jinsi Tigo wanavyomwaga siri za wateja wao!

  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Kingo na Tafsiri rahisi ya kivuli kirefu cha madaraka ya Rais

    Hii ndo tafakari niliyoielewa toka kwa bwana Magiri. Je, ni nini unachokiona kutoka kwa mchoro huu wa Bwana Kingo?
Back
Top Bottom