Kwa kuongezea alisema hiyo technic unayotumia endelea nayo ukiwafukuza huko bungeni hata mwaezi mmoja lazima wataropoka tu na mimi nitadeal nao huku uraiani kwa kuwa bungeni wana kingaTujikumbushe baadhi ya nukuu...
" Ndugai wakileta vurugu whuko Bungeni wewe pambana nao, wakitoka nje ya Bunge mimi nitapambana nao pia "
Umekwepa ajariNdo taarifa zinavyodai...
======
TAARIFA KWA UMMA
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam wakati akitoka Kigoma.
Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake.
Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo
======
UPDATE:
Zitto atasafirishwa kwenda Dodoma kesho tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo.
UPDATE 2:
Polisi wanasema madereva wametoka Dodoma usiku huu na gari la Bunge na wanatarajiwa kuingia saa nane Usiku. Zitto kasema haendi na gari Dodoma kwa madereva waliokuja usiku kwani hawaamini kama hawana ndege, yeye yupo tayari kulipa gharama lakini haendi na gari.
Kwani kile kipaumbele cha viwanda wamekiacha?Kamata kamata hicho ndio kipaumbele chao kwa sasa...
Hakuna mtu mwenye vision yeyote kuhusu viwanda pale zaidi ya kusubiri wakina Bakhresa wajenge wao wakaweke mawe ya msingi.Kwani kile kipaumbele cha viwanda wamekiacha?
Vi-wonder in progress!Kamata kamata hicho ndio kipaumbele chao kwa sasa...
Misuse of public funds and endangering of human lives. Dereva afike dar saa nane usiku halafu alfajiri aanze safari ya kurudi Dodoma. Likitokea la kutokea, tuanze kusema bahati mbaya ama ni mpango wa Mungu! Mawee!Ndo taarifa zinavyodai...
======
TAARIFA KWA UMMA
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam wakati akitoka Kigoma.
Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake.
Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo
======
UPDATE:
Zitto atasafirishwa kwenda Dodoma kesho tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo.
UPDATE 2:
Polisi wanasema madereva wametoka Dodoma usiku huu na gari la Bunge na wanatarajiwa kuingia saa nane Usiku. Zitto kasema haendi na gari Dodoma kwa madereva waliokuja usiku kwani hawaamini kama hawana ndege, yeye yupo tayari kulipa gharama lakini haendi na gari.
Ndugu kuna mambo yanakasirisha sana kiwango ambacho hata tusi kubwa halitoshi kuonesha hasira hiyo ndipo tunatumia maneno ya kihenga tu kuonesha namna hasira zilivyotujaa!
Just imagine kwa upande mmoja watu hawana maji tokea uhuru, kuna vijiji hadi leo umeme wanausikia tu kwenye vituo vya redio,kuna kata na wilaya zizizo na huduma za kuridhisha za afya, na huduma duni ama kutokuwepo na miundombinu kabisa ya elimu ila mijitu mingine iliyopewa dhamana unakuta iko so busy kupiga ramli fulani kasema nini na mwisho wa siku ni kutumia rasilimali fedha na watu kusafiri angani kwenda kwenye kesi ambazo mshitakiwa anasema hapana na kesi inakwisha...yaani( tusi kubwaa)
Tujikumbushe baadhi ya nukuu...
" Ndugai wakileta vurugu whuko Bungeni wewe pambana nao, wakitoka nje ya Bunge mimi nitapambana nao pia "
Si kwamba anaosema hawawashi kwa kuwa hawamsemi hawana la kusema ila wamegeuka samaki ambaye pia hakosi la kusema ila maji mdomoni ndiyo sababu ya kutosema!Hahahahaha lol! Mkuu tusi kubwa hili hili tusi kubwa? Au tusi kubwa "tusi kubwa"?
Umenichekesha sana Mkuu,