DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

Zitto kasema haendi na gari Dodoma kwa madereva waliokuja usiku kwani hawaamini kama hawana ndege, yeye yupo tayari kulipa gharama lakini haendi na gari.
 
Serikali hii sasa inaleta aibu nchini. Kwa nini asiagizwe tu afike kwenye kamati? Ndugai anakuwa kama vile amekuwa na ugonjwa fulani.
 
Nawapeni pole sana watanzania nchi imeshatekwa!! Na mmempa mtu ambae amejua pa kuwashikia! Anawadanganyeni anadhibiti Malaya asiri naawaapia mtazidi uchumi kuudidimiza hata msijue kama hata hizo mali zinazibitiwa!! Poleni sana
 
I have never seen such a wasteful and abusing of country security apparatus resources for really nothing, it is unprecedented.

What a child play!

For the popular mass 50million + , Without realising it, we are unconsciously been ignored, fooled, and it is disheartening.

Yaani yoyote anayeudhika na kauli ya mtu au raia, either piga, funga, kesi, teka au the worst still
 
Serikali ya kishetani ipo Tanzania kwasasa! Ovyo sana na inanuka dhambi kuliko za jehanamu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mi sijaelewa... HIVI KUKAMATWA KWAO, Ina maana wamegoma kwenda wenyewe Dodoma kuitika wito wa kamati au..??
 
Hahahahaha lol! Mkuu tusi kubwa hili hili tusi kubwa? Au tusi kubwa "tusi kubwa"?
Umenichekesha sana Mkuu,
Hahahahahaha! yaani waziri wa ndani mshamba,mkuu mshamba,wa sheria hivohivo,nk kwa kuongezea malimbukeni
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtabakia kulalamika mitandaoni hadi mwisho wa dunia,hii teknolojia kiganjani haiwezi ikawa suluhisho la kudai haki jitafakarini
 
Mkuu wa Mkoa wa Kili na Katibu mkuu wa wizara mbona hawajaingilia kati? Kwani walisharudisha tule tukaratasi twa Zitto?
 
Back
Top Bottom