DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

Watawakamata mpk watakapoisha wataanza kujikamata wenyewe. Refer msukuma Geita
 
Ndo taarifa zinavyodai...

======

TAARIFA KWA UMMA

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam wakati akitoka Kigoma.

Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake.

Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo

======

UPDATE:

Zitto atasafirishwa kwenda Dodoma kesho tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo.

UPDATE 2:

Polisi wanasema madereva wametoka Dodoma usiku huu na gari la Bunge na wanatarajiwa kuingia saa nane Usiku. Zitto kasema haendi na gari Dodoma kwa madereva waliokuja usiku kwani hawaamini kama hawana ndege, yeye yupo tayari kulipa gharama lakini haendi na gari.
Hivi kweli UBINADAMU Tanzania unakuwa hivi. Mheshimiwa Zitto ni mbunge sio criminal kufanyiwa hivi, ametoka Nairobi kumuuona Tundu Lisssu na amepata mshtuko mkubwa kwa hali aliyomkuta nayo halafu nyumba yake imeuungua moto bila hata aibu anafika uwanja wa ndege anatiwa ndani. Spika Ndugai duniani sisi binadamu sote tunapita na tutaenda mbele ya haki ni wakati muhimu utafakari ubinadamu.
 
Ndo taarifa zinavyodai...

======

TAARIFA KWA UMMA

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam wakati akitoka Kigoma.

Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake.

Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo

======

UPDATE:

Zitto atasafirishwa kwenda Dodoma kesho tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo.

UPDATE 2:

Polisi wanasema madereva wametoka Dodoma usiku huu na gari la Bunge na wanatarajiwa kuingia saa nane Usiku. Zitto kasema haendi na gari Dodoma kwa madereva waliokuja usiku kwani hawaamini kama hawana ndege, yeye yupo tayari kulipa gharama lakini haendi na gari.[/QUOTE
NGUVU ZOTE HIZO ZA NINI!? na endapo nikifikishwa halafu nisiongeee chochote...au kuna nguvu inayotumika kumlazimisha kuongea!?
 
Tukio la nyumba yake kuungua moto + kukamatwa kwake + kufichua ukopaji wa trillion 1.2 kwa riba ya bilioni 800 ndani ya miaka mi5 kwa siri = ???
 
Nguvu ndogo sana iliyotumika, ingefaa atiwe pingu mikono na miguu, apigwe rungu 70, afungwe mnyororo shingoni, huyu ni zaidi ya jangili. Mtu anayefitinisha Wananchi na kuwageuza mawazo yao hadi kuwa vipofu kama alivyokufanya wewe inabidi atiwe adsbu.
 
Back
Top Bottom