DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

KWA HYO ATAENDA KUHOJIWA KWAMBA UNAMAANISHA NINI UNAPOSEMA BUNGE LIMEWEKWA MFUKONI NA SERIKALI?

ATAJIBU

1. KWA SABABU JPM ALIMWAGZA JOB KUWASHUGHULIKIA WABUNGE
2. KWA SABABU RIPOTI YA KAMATI YA BUNGE ILIWASILISHWA KWA RAIS BADALA YA BUNGEN

MCHEZO UMEKWISHA.
 
Polisi ya Bongo bana shida tu pole Mambosassa naona unajitaidi kwa kazi yako ya kukamata Watuhumiwa wa Ndugai
 
KWA HYO ATAENDA KUHOJIWA KWAMBA UNAMAANISHA NINI UNAPOSEMA BUNGE LIMEWEKWA MFUKONI NA SERIKALI?

ATAJIBU

1. KWA SABABU JPM ALIMWAGZA JOB KUWASHUGHULIKIA WABUNGE
2. KWA SABABU RIPOTI YA KAMATI YA BUNGE ILIWASILISHWA KWA RAIS BADALA YA BUNGEN

MCHEZO UMEKWISHA.
Rais pia inaonekana kampan yake aliyokuwa nayo wakati akiwa mbunge imepotea ndiyo maana anawaita washkaji zake kuja kufanya mambo ya kibunge ikulu!
 
Tujikumbushe baadhi ya nukuu...

" Ndugai wakileta vurugu whuko Bungeni wewe pambana nao, wakitoka nje ya Bunge mimi nitapambana nao pia "

Mkuu kuna tamko la Bunge letu huku JF wanadai tunawasingizia.Hilo Tamko nadhani limeandikwa na mtoto wa Kindergarten maana kama darasa la saba basi hajui kusema.wala kuandika. Pitia pitia maeneo unaweza kukutana nalo.
 
Siku za hivi karibuni Zitto amebadilika naona atakuwa ameamua kukinywea kikombe wanachokinywea wapinzani wenzake hasa baada ya CCM kutokumjali kama awali.
 
watu wakisema nchi inaendeshwa kinyume na maumbile wanaonekana hawana malezi ya pande mbili!


hahahhah jaman nimechekaaaaa hahahhaha uwiiiiii mbn tusi kubwa namna hyo jaman usk huuu ? hahahahahahhah uwiii !kwamba inaendeshwa kimombasa mombasa hahahaah
 
Ndo taarifa zinavyodai...

======

TAARIFA KWA UMMA

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam wakati akitoka Kigoma.

Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake.

Abdallah Khamis
Afisa Habari - ACT Wazalendo

======

UPDATE:

Zitto atasafirishwa kwenda Dodoma kesho tayari kwa kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo
Muache alale huko akili itakaa Sawa.
 
Ilani ya chama wameshindwa kuitekeleza, inabidi sasa watafute kitu ambacho wanaweza kifanya kwa ufanisi zaidi naona hiki ndicho pekee wanakiweza, manake mengine yote yamewashinda
 
hahahhah jaman nimechekaaaaa hahahhaha uwiiiiii mbn tusi kubwa namna hyo jaman usk huuu ? hahahahahahhah uwiii !kwamba inaendeshwa kimombasa mombasa hahahaah
Ndugu kuna mambo yanakasirisha sana kiwango ambacho hata tusi kubwa halitoshi kuonesha hasira hiyo ndipo tunatumia maneno ya kihenga tu kuonesha namna hasira zilivyotujaa!
Just imagine kwa upande mmoja watu hawana maji tokea uhuru, kuna vijiji hadi leo umeme wanausikia tu kwenye vituo vya redio,kuna kata na wilaya zizizo na huduma za kuridhisha za afya, na huduma duni ama kutokuwepo na miundombinu kabisa ya elimu ila mijitu mingine iliyopewa dhamana unakuta iko so busy kupiga ramli fulani kasema nini na mwisho wa siku ni kutumia rasilimali fedha na watu kusafiri angani kwenda kwenye kesi ambazo mshitakiwa anasema hapana na kesi inakwisha...yaani( tusi kubwaa)
 
*Vipi hii post yake aliopost fb sasaivi?
*Au wamemwachia?
*Au wamemnyang'anya simu wamepost wao ili wamchomeshe??
*Au accouny yake wameihack?

* au huko kizuizin alipo anatumia fb??

Kama ni yeye kapost kaonyesha ushujaa
a8ff4efdc85bbcec282973a60ae73c4f.jpg
 
Back
Top Bottom