Dar-Wing................Soma hapa, Tukutane Jumamosi.

Dar-Wing................Soma hapa, Tukutane Jumamosi.

Kwa wale wa KACHASO inapatikana mtaa wa tatu na wale wa NDUMU inapatikana kwa ALI MANJUNJU kama mita 100 kutoka LEO TUPO HAPA PUB ........ LOL
 
Madame B nakuaminia mama mwenyekistuli wa kamati! Mi nakunywa juice si unajua kwaresima

Si afadhali yako wewe Paloma, mie ndo naogopa hata kusogelea eneo la tukio maana nitashawishika kunywwa bureeee....
 
Last edited by a moderator:
Wewe ukija nitawachezea kiduku wewe huishi sababu yani unavijisababu sababu
haiwezekani nakosaa hii shughuli TMA wanasema kutakuwa na mvua kubwa jmosi naomba tuahirishe mpaka jmosi ijayoo
plsssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Hicho kisingizio kizuri ili msinishawishi...thanks Paloma for the reminder.

dada Madame B wifi yako mpya ana vigezo na masharti magumuuuu....

Nawe mdogo wangu, kwanini uende kuoa kwenye Koo zenye 'masharti na vigezo kuzingatiwa'
Unaona sasa hasara zake.
Mentor, rudi kundini.
 
Last edited by a moderator:
tusiokuwa dar mnatutega sana wajameni kila kitu dar tu duuuh kwani.......................?
 
Back
Top Bottom