Dar-Wing................Soma hapa, Tukutane Jumamosi.

Dar-Wing................Soma hapa, Tukutane Jumamosi.

Natoka shift saa kumi moja kwa moja kwa mjeda! Jamani mrudi na Kebbs ! Ila leo natia timu,
 
wapi sasa? nipo masaki
aah kumbe unatokea Masaki, mi natokea mwenge Kebbs pale.. sasa huko masaki kamata gari la ubungo shuka pale kwa manyanya then panda ya mwanayamala
 
Duh...kumbe kuna kikao cha jioni.Mimi nimekosa mweeeeehhhh
 
ningependa niwe nanyi leo hii. Madame B hongera kwa wazo jema
 
Back
Top Bottom