Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7.

Kuhusu mkasa wa mauaji, soma Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

View attachment 2094888
Barke Rashidi enzi za uhai wake​
Mhm huyo tigo yake haawakuiacha salama🤣🤣🤣🤣
 
izo figo itakuwa wamezichukua kwa matumizi y local si ya kiafya ,kama ni ya kiafya labda ikapandikiziwe basi angetakiwa awepo na mtaalam na ilo zoezi lingefanyikia mahala palipo na vifaa vyote, hiii ndo ile unatekwa unapelekwa mahala nyumba nzurii kumbe labo ya watoa roho *****,

Ila localy unazichomoa tu unatia ktk mfuko mbele, dunia ipo pabaya sana bora ugunduzi ufanyike haraka tutumie hata figo za nguruwe
 
Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.
Mmechoma vibanda vya machinga sasa hiv mnalia..hahhahaa....ujambaZ unarud kwa kasi sana..kitaeleweka tu..ukifungwa mlango huu ule mwingne u afunguliwa

Kuna kijana kibaha ana kakiwanda kake ka kuchakata mafuta..askar wakaenda wakafunga na kumweka ndan..unategemea huyk kijana akil yake inawaza nn...yaan had wazir aliona aibu akawambia wamwache na asaidiwe na sido....hali hii wanaitaka wenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KMmechoma vibanda vya machinga sasa hiv mnalia..hahhahaa....ujambaZ unarud kwa kasi sana..kitaeleweka tu..ukifungwa mlango huu ule mwingne u afunguliwa

Kuna kijana kibaha ana kakiwanda kake ka kuchakata mafuta..askar wakaenda wakafunga na kumweka ndan..unategemea huyk kijana akil yake inawaza nn...yaan had wazir aliona aibu akawambia wamwache na asaidiwe na sido....hali hii wanaitaka wenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ngumu ya maisha isiwe sababu ya uhalifu !
Dunia imebadilika sana siku hizi , high tech cctv cameras na data kadhaa zinafanya crimes ijulikane mapema sana, hawa jamaa wana wiki tu toka wafanye tukio naleo wapo kwa pilato, watu wa kuchuna ngozi kama unakumkuka walisumbua sana mbozi na ileje hadi walipokuja kukamatwa tukuyu
 
Kuna habari Ililetea humu kwamba kuna Mwanamke aliuwawa tarehe 1.1.2022 maeneo ya Tabata Segerea na kutolewa figo.

Jeshi la polisi limewakamata watuhumiwa 2 waliokiri kuhusika na mauaji hayo.

Chanzo cha kifo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa namba 1 aitwae White ambae ni mpenzi wa marehemu alimkodi mtuhumiwa wa 2 Bw. Jonsiner Bounser (John Cena Baunsa) kwenda kumtongoza Marehemu na kisha kwenda kulala nae na kumuua kwa maelezo kwamba mtuhumiwa wa kwanza white amekua akimtuhumu Marehemu kua na wanaume wengine na sio muaminifu na yeye White amemgharamia sana ila marehemu haridhiki.

Hivyo White akakodi mtu amtongoze mpenzi wake na kisha amuue kwa malipo ya shilingi milioni 1.7 na hadi mauaji yanafanyika mtuhumiwa namba 2 alikua ameshalipwa kiasi cha 1.2m na bado anadai 500k kwa mtuhumiwa namba 1.

Mauaji ya mapenzi yameshika kasi sana.
 
Waangalie ndugu zake ambao ndo walienda spitali kuukagua mwili wake.

Watazame kuanzia dakika ya 10 mpaka ya 11.

Ukimaliza kuangalia, naomba uniambie wamesemaje kuhusu figo.


Nimeshangaa sana kusikia habari ya kuhusu huyo binti kutolewa Figo maana toka jana ndugu zake walioenda kuutambua mwili walisema hakuna sehemu aliyoonyesha ametobolewa ikiashiria kwamba labda wamechukua hiyo Figo.

JF kuna watoto wamekuja kuibuka wanaleta Habari za udaku wanakera sana kwakweli.

JF imekuwa ya waswahili nadhani moderators hawako serious habari Kama hii ipelekwe jukwaa la mizaha huko au wafungue jukwaa la uswazi.

Siku hizi tunashindwa kupata habari au taarifa zenye kuwa na mantiki zaidi ya vijana kuja na udaku na hawajui hata kujadili zaidi ya kurusha lugha zisizofaa humu jukwaani.

Zamani ilikuwa mtu Kama huyu anayeleta Habari za uongo namna hii alikuwa anakula ban kwa kuleta taharuki namna hii.
 
Back
Top Bottom