Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

This is very sad.

Kama umeshawahi kuwa part of night life ya Dar utajua kabisa kwamba drastic measures are needed to save our girls.

Some of us are living for the night life. This is the life that make us slay for the gram as we literally trade our kidneys for cheap stunts.

Wanawake wengi sana wataumizwa katika hili. Na Mpaka Nchi ije kushtuka basi many will have lost their lives.
 
Acheni maisha hayo sasa mrudieni Mungu.
 
This is very sad.

Kama umeshawahi kuwa part of night life ya Dar utajua kabisa kwamba drastic measures are needed to save our girls.

Some of us are living for the night life. This is the life that make us slay for the gram as we literally trade our kidneys for cheap stunts.

Wanawake wengi sana wataumizwa katika hili. Na Mpaka Nchi ije kushtuka basi many will have lost their lives.
Bado wanaoenda nijeria na uturuki

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom