Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Kumbe we ni taahira, kwahiyo na daladala zinazoandikwa Tabata Segerea (T/Segerea) nazo hazipo? Acha kupotezea watu muda.
kwa nini umechangia hoja inayokupotezea muda?
you are a natural born dunderhead

hakuna daladala iliyoandikwa Tabata Segerea
na hakuna daladala inayokwenda Tabata Segerea

na hata ingeandikwa, kumfuatisha karani wa erstwhile SUMATRA aliyelipua kazi ni wehu
wamechemka wanasheria wanaoingia mikataba ya nchi itakuwa karani wa erstwhile SUMATRA?

ni mfanyakazi gani wa erstwhile SUMATRA au taasisi yeyote ya nchi hii atajali kuandika memo halmashauri ya jiji kuomba majina rasmi ya vitongoji vya mji ? Don't be a drooling dopehead
 
‘Hakuna’ maana yake nini, labda tuanzie hapo, kwamba kitu kipo halafu wewe useme hakipo, ingia kwenye google map halafu search Tabata Segerea, tuanzie hapo labda. Haya hao google nao utasemaje?

F138374E-6DAA-4BB4-B5CC-72636DEF01A2.png
 
‘Hakuna’ maana yake nini..... Haya hao google nao utasemaje?
Okay, Tabata Segerea ipo Tabata au ipo Segerea au haipo Tabata wala Segerea ?

Na ni nini hiyo Tabata Segerea, ni kijiji, barabara, manispaa, tarafa, kata, ama uwanja wa mpira?

kata za ilala.PNG

segerea.PNG

tabata.PNG

NItafutie maelezo ya Tabara Segerea ni kitu gani.
 
Okay, Tabata Segerea ipo Tabata au ipo Segerea au haipo Tabata wala Segerea ?

Na ni nini hiyo Tabata Segerea, ni kijiji, barabara, manispaa, tarafa, kata, ama uwanja wa mpira?

View attachment 2104799

View attachment 2104817

View attachment 2104818

NItafutie maelezo ya Tabara Segerea ni kitu gani.
Fuata direction ya google map hadi hapo kwenye location inapoonyeshwa ni ‘Tabata Segerea’, halafu ukifika waulize hapa ni barabara, Bar, Duka au Kijiji, etc. , cha msingi hiyo location ipo na unaweza kufika muda wowote ukitaka. Sasa kama sehemu inafikika na unasema haipo, sasa sijui ni msaada gani unaweza kupewa..., labda ukatibiwe akili tu..
 
Sasa kama mtu anaikata tabata segerea
Tabata kinyerezi itakuwaje?

Ova
Tabata Kinyerezi ?????

.... hapo katikati ya Tabata na Kinyerezi ni KIMANGA

....wakuja na wakazi wasio na uelewa wanapaita Tabata Kimanga, wrong!

Ilala map 2.PNG

Makonda wa daladala ndio wamepaita Tabata Kinyerezi pamoja na uninformed, unpolished, unquestioning, unashamed peasants!

RPC Kanda Maalum, of all the people, hujui geographic picture ya jiji, unawezaje ku solve mysterious crimes ? Umeletwa kutoka u-OCD Bariadi, umekulia Uyole, hujapewa city tour umepewa u-RPC D'Salaam puuuu!

Ms. Barke Rashid ameuawa Tabata au Segerea hatujui, magazeti hayajui, ndugu zake hawajui na polisi hawajui!
 
Back
Top Bottom