Dar Vs Arusha

Acha longolongo weye, njoo mjini huku tule bata! Maisha mafupi haya!

huyo bata ackose kimezeo(mbege+nyagi)...kaka umeshawahi kumix hiyo ki2, chaaa ote kabisa, haisemekii kwa utamu....unaniudhi 2 cku hizi unaitelekeza mila, cjui miller/ndovu malt...unaniudhi ujue....mara yako ya mwisho kunywa mbege ni lini?
 
Jamani njoo tuongelee dar baharini na watoto wazuri huku tunakula bata.
 
Sredi nyingine matata. Yaani tunabandika sredi kupambanisha Dar vs Arusha!

Tusipoteze muda, maisha popote, utamu wa ngoma uingie na ucheze.
 
huyo bata ackose kimezeo(mbege+nyagi)...kaka umeshawahi kumix hiyo ki2, chaaa ote kabisa, haisemekii kwa utamu....unaniudhi 2 cku hizi unaitelekeza mila, cjui miller/ndovu malt...unaniudhi ujue....mara yako ya mwisho kunywa mbege ni lini?
Khee maswali mengine bana............ Tarehe 8/8/2011 niliigida pale Marangu wakati nasubiri muda ufike nichape mwendo kuja kwa wazaramo huku......
 
Arusha bomba ila uchafu na mpangilio mbaya wa mji ndio vinanikera. Otherwise ni sehemu nzuri ya kuishi
 
  • Thanks
Reactions: bht
Arusha bomba ila uchafu na mpangilio mbaya wa mji ndio vinanikera. Otherwise ni sehemu nzuri ya kuishi

miji ye2 mingi ni michafu, kila nilipozunguka pote papo hovyo 2 kasoro Kilimanjaro, cjui mingine ambayo cjafika hivi karibuni kama imebadilika!
 
miji ye2 mingi ni michafu, kila nilipozunguka pote papo hovyo 2 kasoro Kilimanjaro, cjui mingine ambayo cjafika hivi karibuni kama imebadilika!
Mji wa Kilimanjaro ndo upi? Mwanga, Same, Himo, Bomang'ombe, Useri, Tarakea au?
 
Arusha sasa hivi kumepauka, halafu hela ngumu labda uwe na ajira ya kueleweka, nimezaliwa Arusha nimekua na kusoma huko ndo kwetu lakini nikienda naona siyo kama zamani pameharibika, Arusha zamani bwana
 
hapo tu ndio watu wa dar mnaponiachaga hoi...wengine tunatafuta maisha na sio maujanja, mnajifanyaga wajuaji/wajanja kupita maelezo, yaani mnajionionaga na hilo jiji lenu kwamba ndio mmeyakamatia maisha....kuna mmoja nilimtimua pale mkulima juzi kati kwa majidai hivi hivi, kwamba katokea dar na blah blah kibao, upuuzi mtupu! kama mie ntaishi mikoa yote tz kasoro dar.....

Nyamayao umemaliza,hakuna mkoa nisioupenda kama Dar! Sijui kwanini wanaoishi huko wanaona kuwa wanaishi eden!
 
Kwa USHAMBA DAR MKOO JUU,ukianzia na tabia yenu ya kulea mafsad,uchoko,uswahili yaan daily mnaishi kama jana,yaani apo dar ni f**a no wonder mafsad na washamba wote wanataka kuish uko.Arusha michongo ya ela ipo juu yaan unapga dil unashka ela ndefu na co faida za jero jero,unapata watoto wazur natural na machz rjal co wa2mia mikorogo kama kaka mkuu wenu NAPE.Aisee acha niishie apa wadar ni wachache sana wenye unaweza fanya nao mbishe kama kwel unataka gud tym njoo rchuga unapata uwakka wa future
 
Kaka! Lowassa, Sumaye, wanakaa wapi?
 
Back
Top Bottom