valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,851
- 868
tukubali tu arusha kuna mazingira yote mazuri ya kuishi. arusha pametulia zaidi katika nyanja nyingi.
Arusha sasa hivi kumepauka, halafu hela ngumu labda uwe na ajira ya kueleweka, nimezaliwa Arusha nimekua na kusoma huko ndo kwetu lakini nikienda naona siyo kama zamani pameharibika, Arusha zamani bwana
tukubali tu arusha kuna mazingira yote mazuri ya kuishi. arusha pametulia zaidi katika nyanja nyingi.
mleta thread ungepambanisha Arusha na Mwanza,kwa aliyefika kote na kuzunguka vizuri kuna fanana kasoro now Mwanza wana roads za kisasa.
A town compare with other cities of da entire world and not Dsm
Bila shaka uwepo wa wazungu wengi Arusha kwa mawazo yangu: Ni kama "SHAMBA LA BIBI" nawe tia kambi hapo na bila shaka utawaona siyo wadhungu tu bali makabila mbalimbali.
Mdogo wangu pazuri kwa kuishi ni arusha asidanganye mtu, maisha hata sio expensiv kama filimbi za watu zinavyopigwa