Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 55,588
- 45,386
Kama vile kulinganisha:
maji ya bahari na maji baridi
Bata na Kuku
Nyoka na Mjusi
Simba na Abajalo
Yanga na Barcelona
Ha! Ha! Ha! Ujue Asprin, Dar ni gharama sana na watu wana pesa.
Ofisi au duka Dar mitaa ya posta kodi yake Sh2 milioni mpaka 1.5 milioni kwa mwezi.
Kariako duka la mbele kodi Sh1.5 kwa mwezi.
Duka la ndani laki 7 kwa mwezi.
Chumba kimoja uswahilini kama Magoneni mapipa laki 1 kwa mwezi ujafika Mwenge, Upanga, Mbezi beach, na maeneo mengine