Pole sana dada.........nami nikija ntakuja kukutembelea........ Stuka! Unaweza kuta ye alikuwa anaongea kawaida we ukahisi anajidai.......... si unajua tena maujanja?..........Naweza kuomba lifti kwenye bajaji yako wakati PRADO nimepaki nyumbani FULL tank......... ni ujanja tu si majivuno jamani....hapo tu ndio watu wa dar mnaponiachaga hoi...wengine tunatafuta maisha na sio maujanja, mnajifanyaga wajuaji/wajanja kupita maelezo, yaani mnajionionaga na hilo jiji lenu kwamba ndio mmeyakamatia maisha....kuna mmoja nilimtimua pale mkulima juzi kati kwa majidai hivi hivi, kwamba katokea dar na blah blah kibao, upuuzi mtupu! kama mie ntaishi mikoa yote tz kasoro dar.....
Kama vile kulinganisha:
maji ya bahari na maji baridi
Bata na Kuku
Nyoka na Mjusi
Simba na Abajalo
Yanga na Barcelona
Hahahahahah! Dah! ngoja wana-apollo wakusome hapa utashaa!Wadau dar inafananishwa na big cities in africa like...
DAR VS NAIROBI, KAMPALA, HARARE, LUSAKA ETC
Arusha pa kwenda kutalii, but about real life experience in big cities Dar is a place to live,,
ARUSHA levo yake ni ARUSHA VS MOSHI, NACHINGWEA, TANDAHIMBA,SINGIDA ETC,, thats why kila HEAD OFFICE IPO DAR hadi ya UTALII NA MALI ASILI wewe ushangai?
Kutoka dar kwenda arusha unakuwa umerudi nyuma, unatakiwa ukitoka kuishi dar kinachofata ni New york,London, Paris etc
Dada kwani kuna anayepinga? Tunaweka mchanganuo hapa......... usisahau mie si mzaramo wala mmasai........ mi lichagga asilia toka migombani hukooooooo...... niliyewahi ishi mikoa yote hii. Ukiangalia kwa makini nimechambua kwa kuweka mizania ya mabaya na mazuri............. Nashangaa umekomalia hayo mazuri nliyoyaweka lakini hunisifii kwa hayo mabaya........... Nimesema Dar ni chafu.... Mbona hupingi? .......Wizi...... mafoleni....... et el. We umeona hayo mazuri tu? Wanshangaza!pweehh...Asprin umeamkia wapi leo, ucniambia ndicho mnacho/unachojivunia......mtoa thread maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua, popote unapoona patakuletea maendeleo yako ishi!
Pole sana dada.........nami nikija ntakuja kukutembelea........ Stuka! Unaweza kuta ye alikuwa anaongea kawaida we ukahisi anajidai.......... si unajua tena maujanja?..........Naweza kuomba lifti kwenye bajaji yako wakati PRADO nimepaki nyumbani FULL tank......... ni ujanja tu si majivuno jamani....
Dada kwani kuna anayepinga? Tunaweka mchanganuo hapa......... usisahau mie si mzaramo wala mmasai........ mi lichagga asilia toka migombani hukooooooo...... niliyewahi ishi mikoa yote hii. Ukiangalia kwa makini nimechambua kwa kuweka mizania ya mabaya na mazuri............. Nashangaa umekomalia hayo mazuri nliyoyaweka lakini hunisifii kwa hayo mabaya........... Nimesema Dar ni chafu.... Mbona hupingi? .......Wizi...... mafoleni....... et el. We umeona hayo mazuri tu? Wanshangaza!
hebu nenda ukaanze maisha TANDAHIMBA huko unag'ang'ania mijini tu maisha ya leo haya utajikuta mshahra unaishia kwenye daladala hasa dar
Dada kwani kuna anayepinga? Tunaweka mchanganuo hapa......... usisahau mie si mzaramo wala mmasai........ mi lichagga asilia toka migombani hukooooooo...... niliyewahi ishi mikoa yote hii. Ukiangalia kwa makini nimechambua kwa kuweka mizania ya mabaya na mazuri............. Nashangaa umekomalia hayo mazuri nliyoyaweka lakini hunisifii kwa hayo mabaya........... Nimesema Dar ni chafu.... Mbona hupingi? .......Wizi...... mafoleni....... et el. We umeona hayo mazuri tu? Wanshangaza!
arusha rahisi kung'oa mademu wakali kwakuwa hamna ushindani wanaume wao wengi washamba na hawako romantic ila tatizo mademu wa arusha hawahongi!dar kung'oa mizigo wa maana ngumu wanaume wengi wa dar wajanja sound mia ila uking'oa kitu cha ukweli full bata!.....pembezoni mwa bahari ndo kwenye maisha mazuri!
aisee dar masharobalo na wauza sura wananikera kinoma,arusha nyeusi ngumu hadi wasichana..
Koooooote huko poa, lakini kukaa mbali na hizo mbingu ndogo kwenye red........NO WAY!!mazuri yapi? hahaha kwamba kuna bot/wabunge/sbl?...hivi sbl haifiki kilombero?...hebu huko...pachafu/pasafi/joto/baridi yote poa inategemeana na mtu anavyotaka kuisaka kwacha(kichaga zaidi).....maisha popote kama umeyabamba dar, poa, kama mtwara/ruvuma poa. ishu sio sbl/tbl/MP/kuchafu/kusafi.....sawa wewe chasaka?....
Mshiki, Dont take JF too serious: Source Kaizer 2011.inackitisha sana, cjui wengine wanafikiria kwa ku2mia nn....cjui kwa kweli but inatia huruma sana kama ndio m2 anaweza kufikiria kwa kiwango hiki!..
Mshiki, Dont take JF too serious: Source Kaizer 2011.
Acha longolongo weye, njoo mjini huku tule bata! Maisha mafupi haya!so kila thread JF 2chukulie ni ya masihara?
arachugga is everything banah,,,,, dar life is more expemsiv than arusha, i assure u that, coz nimewahi kuishi dar, na sasa naishi arusha,,, dar, kodi ya chumba sehemu kama sinza lets say, inarange kwenye 60 mpaka 80, na hapo ni chumba tu, wakati arusha, njiro unaweza kupata nyumba yenye choo, bafu, 1 bedroom, sitting room na kitchen kwa 80 mpaka kilo.. See the difference??, haya, tuje kwenye vitu kama foleni za barabarani, kama unatumia gari yako binafsi, kwa 4len za dar, unahitaji kama mafuta mengi zaidi kwa mizunguko ya kawaida tu kulinganisha na mtu aliyeko arusha, wen it comes to the hali ya hewa again, arusha is better,... Japo kuna vitu vingne ambavyo huku atwn ni bei gali kidogo kwakua vinatoka bandarini - dar, but still it doesnt make that biig difference kiasi icho,, soo, kwangu mimi, arusha is much better than dar