Dar: TRL yabomoa nyumba kadhaa eneo la Buguruni

Dar: TRL yabomoa nyumba kadhaa eneo la Buguruni

SASA JAMANI ITAKUWAJE MAANA KATIKA HIZO NYUMBA UNAKUTA NI FAMILIA HAINA BABA WALA MAMA NYUMBA WAMEBAKI WATOTO WADOGO HAWAJUI PAKWENDA LEO HII MMEWABOLEA DAH

CCM MUNGU ANAWAONA
 
Tatizo sisi Watanzania tumezoea mitelemko, wewe mwenyewe na akili zako unaenda unajenga karibu na vyanzo vya maji,juu kuna nyaya za umeme za 33KV au zaidi, ifadhi ya barabara, ifadhi ya reli ...unakuja unabomolewa unailaumu serikali au anataka fidia je ulitumwa akajenge hapo??
wengine wakisikia kuna mradi sehemu wanavamia ardhi ..ili baadae waje wilipwe fidia....kuna watu walifanya fojali kigamboni now viwanja vimewadodea. watanzania tunakiwa tubadilike
YAANI WEWE JAMAA ULIYO COMMENT NI DHAHIRI UNAONEKANA HADI SASA UNAISHI KWA SHEMEJI NA UNAMTEGEMEA SHEMEJI AMBAE ANAKUWEKA HAPA MJINI

NDIO MAANA UCHUNGU WA KUJENGA NYUMBA NA KUBOLEWA HAUJUI KWA SABABU BADO UNAISHI KWA SHEMEJI
 
Nidhamu Inaanza kurudi kuanzia barabarani (kutii alama za barabarani) inahamia kwenye ujenzi holela. Hongera awamu ya 5.
 
YAANI WEWE JAMAA ULIYO COMMENT NI DHAHIRI UNAONEKANA HADI SASA UNAISHI KWA SHEMEJI NA UNAMTEGEMEA SHEMEJI AMBAE ANAKUWEKA HAPA MJINI

NDIO MAANA UCHUNGU WA KUJENGA NYUMBA NA KUBOLEWA HAUJUI KWA SABABU BADO UNAISHI KWA SHEMEJI
Endelea na "Uchungu wa kujenga" wakati tingatinga likisafisha buguruni.
 
Tatizo sisi Watanzania tumezoea mitelemko, wewe mwenyewe na akili zako unaenda unajenga karibu na vyanzo vya maji,juu kuna nyaya za umeme za 33KV au zaidi, ifadhi ya barabara, ifadhi ya reli ...unakuja unabomolewa unailaumu serikali au anataka fidia je ulitumwa akajenge hapo??
wengine wakisikia kuna mradi sehemu wanavamia ardhi ..ili baadae waje wilipwe fidia....kuna watu walifanya fojali kigamboni now viwanja vimewadodea. watanzania tunakiwa tubadilike
Siasa imetudumaza sana
 
Wabomoe kote, ili tuheshimu sheria. Hakuna kubembelezana awamu hii.
Kuna msemo usemao kuwa uyaoneee tatizo WEWE blessings unazungumza hivoo kwa sababu hadi sasa unaonekana maisha yako BADO ni tegemezi upo kwa wazazi na unakula kwa shikamoo

Ila ungekuwa mtafutaji usingezungumza haya maneno
 
Wacha waisomee namba... Ccm oyeeeee ( kwa sauti ya Bashite)
 
Kuna msemo usemao kuwa uyaoneee tatizo WEWE blessings unazungumza hivoo kwa sababu hadi sasa unaonekana maisha yako BADO ni tegemezi upo kwa wazazi na unakula kwa shikamoo

Ila ungekuwa mtafutaji usingezungumza haya maneno
Sheria ifuatwe ama nakaa kwa shemeji au kwa wazazi. Wabomoe bila kusita tena wakifurahi kuwa wanatimiza sheria halali.
***maisha yakibana ndio wananchi watajua haki zao na si kuchekacheka na kukubali Kofia na khanga kipindi cha uchaguzi.
 
Hvi SASA ukuta wa kiwanda cha Said Salim Bakheresa&Co Ltd ndyo UNABOMOLEWA
Ama kweli Sheria ni Msumeno
 
Wakazi wa maeneo ya Buguruni na maeneo mengine wilayani Ilala, waliojenganyumba zao pembezoni mwa reli ya kati (TRL), leo wameionja joto ya jiwe baada ya nyumba zilizokuwa ndani ya umbali wa mita 30 kutoka kwenye reli, zipatazo 200 kuanza kubomolewa kwa amri ya serikali.
mwandishi wetu alifika eneo la tukio na kushuhudia jinsi nyumba hizo zilivyokuwa zikibomolewa, huku wananchi wengi waliokumbwa na patashika hiyo, wakiililia serikali yao, kwani hawakupewa hata muda wa kuhamisha chochote kutoka kwenye nyumba zao.
Jeshi la polisi lilikuwepo eneo la tukio ambapo askari waliojihami kwa bunduki na mabomu ya kutoa machozi, walikuwa wakirandaranda huku na kule, kuhakikisha hakuna anayejitokeza kupinga zoezi hilo.
Tazama video kuona jinsi bomoabomoa hiyo ilivyokuwa.

Back
Top Bottom