Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
Ukweli usiofichika ni kwamba hii hali inaumiza, lakini inatakiwa kuwa fundisho kwetu watanzania kwa kujenga maeneo rasmi ili kuepuka maumivu haya, tunajifunza kutokana na makosa yetu.
Kwanini Kumebomolewa usiku naona namba zinasomwa karibuni mikoani
Tatizo sisi Watanzania tumezoea mitelemko, wewe mwenyewe na akili zako unaenda unajenga karibu na vyanzo vya maji,juu kuna nyaya za umeme za 33KV au zaidi, ifadhi ya barabara, ifadhi ya reli ...unakuja unabomolewa unailaumu serikali au anataka fidia je ulitumwa akajenge hapo??
wengine wakisikia kuna mradi sehemu wanavamia ardhi ..ili baadae waje wilipwe fidia....kuna watu walifanya fojali kigamboni now viwanja vimewadodea. watanzania tunakiwa tubadilike