Sgr si hiyo hapo tazara???Bravo. Safari ni hatua. Wimbo wa standard gauge railway tumeusikia miaka mingi na sasa JPM in action. Bravo Ngosha.
Maelezo yako ni mazuri ndugu lakini ungeshauri kipi kifanyike ikiwa waathirika wamejenga katika eneo la reli ambalo wakati wowote shirika la reli litahitaji kuliendeleza.Kura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!
Sasa siwezi kujua hapa ni nani anasomeshwa namba na ukweli kwa sasa familia nyingi hazina uhakika wa hata kula mlo mmoja hivyo shelter pekee ndio ilikuwa tumaini lililobakia. Kubomoa na nyumba si ajabu tukasikia tena tukio kama la mfanyabiashara wa vinywaji wa Dodoma!
Fidia italipwa ikiwa hawakuwa ndani ya hifadhi ya reli( ingawa inauma kubomolewa nyumba kipindi hiki)Poleni sana, wamelipwa fidia?
Kura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!
Sasa siwezi kujua hapa ni nani anasomeshwa namba na ukweli kwa sasa familia nyingi hazina uhakika wa hata kula mlo mmoja hivyo shelter pekee ndio ilikuwa tumaini lililobakia. Kubomoa na nyumba si ajabu tukasikia tena tukio kama la mfanyabiashara wa vinywaji wa Dodoma!
Kosa lao litakuwa kuisababishia hasara serikali. Maana pesa, nguvu na muda unaotumika hapo zingetumika kufanya shughuli nyingine za maendeleo.Wapelekwe mahakamani kwa kusababisha usumbufu kwa serikali, huu siyo muda wa kuleana tena
Achana na vyama mkuu, ni lazima watanzania tutafute kuelewa badala ya kusubiri kulaumu wakati makosa ni yetu wenyewe. Ni mda wa kurudisha heshima na nidhamuKura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!
Sasa siwezi kujua hapa ni nani anasomeshwa namba na ukweli kwa sasa familia nyingi hazina uhakika wa hata kula mlo mmoja hivyo shelter pekee ndio ilikuwa tumaini lililobakia. Kubomoa na nyumba si ajabu tukasikia tena tukio kama la mfanyabiashara wa vinywaji wa Dodoma!
Wakuu,
NImepita hapa eneo la Buguruni kwenye kiwanda cha Said Salim Bakheresa & Co Ltd ambapo reli ya kati imekatiza kwenye barabara ya Mandela kuna zoezi la bomoabomoa linaloendeshwa na kampuni ya reli Tanzania (TRL) dhidi ya watu waliofanya maendelezo ndani ya eneo la reli, nmeshndwa kupiga picha ila kuna ulinzi mkali wa Jeshi la polisi na magari 2 ya maji ya kuwasha.
Lakini, Sheria inasemaje
RELI INAWEZA LETA MAZAO TOKA MOROGORO KUJA MPAKA SOKONI BUGURUNI. HUO UPUMBAVU ULIOBOMOLEWA UNAPELEKAGA HATA TAKWIMU YA MAPATO KILA MWISHO WA MWAKA ZISOMWE KATIKA MAKUSANYO ILI ISAIIDIE KATIKA KUCHANGIA BAJETI YETU HAFIFU. WAZUNGU WASHATUCHOKA TRUMP KAWATOLEA UVIVU MJUE.
ULIKUWA HUJUI AU UNAFIKI TU NINYI NDO WATU TUSIOWATAKA KATIKA TANZANIA YETU MPYAIvi kumbe buguruni sio jimbo la Ilala? Nilijua ivo. Kumbe segerea
We taaira kweli wewe.ULIKUWA HUJUI AU UNAFIKI TU NINYI NDO WATU TUSIOWATAKA KATIKA TANZANIA YETU MPYA
Kwa hiyo unatuwekea siasa humu au vipi? Kafie mbele huko na siku ukushindwa kunya pia utaweka hesabu cuf chadema na ccm. Akili za kushikiwa hizoKura za ubunge za jimbo hili ziligawanyika kwa watu watatu yaani cdm, cuf na ccm walioshinda. Ukijumlisha kura za cuf na cdm kwa pamoja zilikuwa myingi kuzidi za ccm lakini katika principle ya simple majority ccm wakashinda!
Sasa siwezi kujua hapa ni nani anasomeshwa namba na ukweli kwa sasa familia nyingi hazina uhakika wa hata kula mlo mmoja hivyo shelter pekee ndio ilikuwa tumaini lililobakia. Kubomoa na nyumba si ajabu tukasikia tena tukio kama la mfanyabiashara wa vinywaji wa Dodoma!
Uwe na ubinadamu kidogo rafikiWabomoe kote, ili tuheshimu sheria. Hakuna kubembelezana awamu hii.