Hatari sana na huu ukata, maisha yatakuwaje? View attachment 479531View attachment 479532
Wee acha tu, watu wanateseka sana ktk hilo zoezi..Ukiangalia hii picha unagundua namna wananchi wa hali ya chini wanavyoteseka na nchi hii ni kama wakimbizi.
Fungua video mkuu hicho kighorofa kilibomelewa toka miaka ya nyuma kilikuwa mbezi beach karibu na hifadhi ya vyanzo vya majiduuh!asa mwenye hiko kighorofa si ndio maisha alikuwa ashayapatia hapa mjini,kweli life is a wind,blows any side..
Tatizo sisi Watanzania tumezoea mitelemko, wewe mwenyewe na akili zako unaenda unajenga karibu na vyanzo vya maji,juu kuna nyaya za umeme za 33KV au zaidi, ifadhi ya barabara, ifadhi ya reli ...unakuja unabomolewa unailaumu serikali au anataka fidia je ulitumwa akajenge hapo??
wengine wakisikia kuna mradi sehemu wanavamia ardhi ..ili baadae waje wilipwe fidia....kuna watu walifanya fojali kigamboni now viwanja vimewadodea. watanzania tunakiwa tubadilike