Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Rebeca kusamehe mimi nisingeweza, sio kwa hizo video clip walizotuma kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize wamemdhalilisha na kumpoteza kwenye sanaa safari hii.
Mwanaume hadhaririki(afrika) tena hao vijana!!kama mchungaji wa kiume mwenye kondoo wake, anashindwa kudharirika, sembuse hao wahuni?!sana sana utaona amepaishwa!!ila hapa serikali inawachekea sana , hizo sheria za mtandao kwa hawa wasanii hazizingatiwi kabisa!!ilitakiwa ili kuikomesha wangetoa mfano kwa mmoja wao, akakaa jela hata mwaka, bila faini, wangeogopa!!!
 
Kukimbilia polisi sio uanaume.. Ilibidi nae ajipange ajibu mapigo kimya kimya kama bluce lee.. Sasa anakimbilia polisi kutafuta huruma.. Kweri nimeamini konde boy ni mshamba wa chitohori mtwara vijijin... Tena mwari wa kimakonde kabisa.

Haya mambo ya kupelekwa polisi kila wakat rayvanny itam Cost na kumuaribia Cv ataonekana ako na shida sehemu, kila siku tu yeye polisi , naomba Mungu leo alale Hata I Night nitafurah sana hiz mbwa zimezid umbea, Boss wao aliyewatuma safar hii watanyooka
 
Kwani aliyemuanza mwenzake ni Nani?
 
Kamtafuta ray siku nyingi akafikir ray ni yule yule mpole safari hii ray kaona anavuka mipaka kutaka afungwe kumchafua amebaka mwanafunzi
Sasa kumbe Ray kajaribu kujibu mapigo anajikuta anaswekwa ndani we unalia Lia nini sasa Kama yatima hapa... Ubaya ubaya tu. Mmakonde yupo sawa sana

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kamtafuta ray siku nyingi akafikir ray ni yule yule mpole safari hii ray kaona anavuka mipaka kutaka afungwe kumchafua amebaka mwanafunzi
Harmonize siyo Kiba. Atawapelekaaaaa. Atawapekelekea motooooo. Mwaka huu mpaka mashoga mtajifungua kwa uchungu.

😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

1618492186491.png
 
Rayvanny alikuwa anaenjoy na demu wake Paula kiroho Safi yaani , jitu likakurupuka huko chitoholi et Baba ake Lina machungu ha haaaa ..... Likaenda mahakamani , ma-mae watoto wa mjini wakaema ngoja tukuonyesheee ...... Paula ataendelea kuliwa , huyo konde hakuna atakacholipwa na hakuna kitu atafanya .... Na akizingua zaidi anapewa tena , video zake zipo nyingi tuu
 
Huyo Paula na mama yake wote ni malaya, unafilimba tu kwa mafungu kama nyanya.

What's so special na hao malaya ?
 
Rayvanny alikuwa anaenjoy na demu wake Paula kiroho Safi yaani , jitu likakurupuka huko chitoholi et Baba ake Lina machungu ha haaaa ..... Likaenda mahakamani , ma-mae watoto wa mjini wakaema ngoja tukuonyesheee ...... Paula ataendelea kuliwa , huyo konde hakuna atakacholipwa na hakuna kitu atafanya .... Na akizingua zaidi anapewa tena , video zake zipo nyingi tuu
Acheni kum blackmail mna videos zake nyingi, huu ni utoto wa kijinga,haya ameenda police mtatolea huko?
 
Back
Top Bottom