Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,974
2,000
Rayvanny alikuwa anaenjoy na demu wake Paula kiroho Safi yaani , jitu likakurupuka huko chitoholi et Baba ake Lina machungu ha haaaa ..... Likaenda mahakamani , ma-mae watoto wa mjini wakaema ngoja tukuonyesheee ...... Paula ataendelea kuliwa , huyo konde hakuna atakacholipwa na hakuna kitu atafanya .... Na akizingua zaidi anapewa tena , video zake zipo nyingi tuu
Acheni kum blackmail mna videos zake nyingi, huu ni utoto wa kijinga,haya ameenda police mtatolea huko?
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,363
2,000
Acheni kum blackmail mna videos zake nyingi, huu ni utoto wa kijinga,haya ameenda police mtatolea huko?
Nani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi .....mbona akina Marioo type yake wapo wanafanya vyema...
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
4,582
2,000
Ndo akajibu mashtka polisi , Yan Kitendo cha kupelekwa tu polisi nimefurahi sana yani

Na hivi binamu umesikia konde ana mguu wa mtoto lazima umtetee, Binamu vipi lakini maana siku nyingi kweli kweli, Binamu zima taaa!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,821
2,000
Nani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi ...
WCB hawamiliki bongo fleva. Mashabiki ndio waamuzi.

Huyo tipwa tipwa aliyetangulizwa mbele na kina Sallam atapata tabu sana mwaka huu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Marx freeman

Member
Jan 12, 2018
62
125
Sasa konde kwann amtumie paula picha za utupu angali akijua paula ni mwanafunzi.. hii ishu inazidi kuwa kubwa, inawashusha sana, inaongeza chuki na kugawa kabisa mashabiki..
 
Richard spencer

JF-Expert Member
Feb 22, 2021
401
500
Unapoenda mahakamani uwe msafi, harmonize hana huo usafi na yeye mwenyewe anajua. Polisi wamemuita Rayvanny kumpunguza moto tu na kulipoza hili swala.
 
Marx freeman

Member
Jan 12, 2018
62
125
Nani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi .....mbona akina Marioo type yake wapo wanafanya vyema...
Mmakonde hana akili.. yaan kuwataka mama na mtoto... sa si angeanza na paula kama alikuwa anamtaka... nafikiri konde alipata wivu
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
183,466
2,000
Mbona menina alijirekodi akamtumia mwijaku na mwijaku akasambaza na kesi imebaki kwa mwijaku. So paula akikubali atajiingiza kwenye kesi mbovu mno.

Majani alishasuntwa na paula mitandaoni akimtaka akae mbali nae maana hana uchungu nae kama ilivyo kwa kajala so majani akakubali yaishe kwa kifupi amemzira
Tuangaliege na wanawake wa kuzaa nao.Hii vita anaumia zaidi ni Paula,japo mwenyewe na mama yake hawajui.

Halafu Majani mwenyewe hana time ndio kwanza leo anaitangaza project mpya ya Raptcha.
View attachment 1752833

Sasa Harmo anaenda mahakamani,kama Ray akisema kazipata kwa Paula,halafu Paula wakambana akazionyesha na yeye si anakuwa na kesi ile ile kama ya Rayvanny ya kusambaza picha za uchi wake.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,363
2,000
Mmakonde hana akili.. yaan kuwataka mama na mtoto... sa si angeanza na paula kama alikuwa anamtaka... nafikiri konde alipata wivu
Konde anaishi Kwa Kiki , kashajitengenezea hyo dhana , kila linalotokea yeye analigeuza liwe Kiki , na ili Kiki yake ipate nguvu inabid awahusishe Wasafi either kupitia watu wake akina , mwijaku , Hbaba au yeye mwenyewe , , Rayvanny kumpsot Paula ilikuwa ratiba yake tuu , atengeneze attention basi life liende , ghafula bin vuu mmakonde kafura huko , kaenda mahakamani , mara kwenye media , huyoo katangaza atafanya maandamano mpak Wasafi , daaah ...

Wamemfinya kidogo ameanza kulalama tena ooh wanataka wanishushe duh....

Kwa mtu mwenye akili timamu , baada ya Rayvanny kupost konde angetulia tuuu, na baada ya picha Kuvuja , angetulia pia badae ndipo sasa achukue hatua stahiki , ingemake sense sana, huyoo kakimbilia kutoa wimbo , kamuita chinga dogo toa wimbo , picha zimevuja anajipiga picha bafuni anauliza mashabiki ni tango au kibamia , nao wakampa anachotaka kusikia......

Anakuja kukumbuka kuna kitu beyond fanbase and popularity kipo damaged ndo anawaza kushitaki , too late
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,281
2,000
Mbona menina alijirekodi akamtumia mwijaku na mwijaku akasambaza na kesi imebaki kwa mwijaku. So paula akikubali atajiingiza kwenye kesi mbovu mno.

Majani alishasuntwa na paula mitandaoni akimtaka akae mbali nae maana hana uchungu nae kama ilivyo kwa kajala so majani akakubali yaishe kwa kifupi amemzira
Ok kwa hiyo Menina hana case mpaka sasa?

Naona Mwijaku nae kalivalia njuga hili swala,cha ajabu yeye mwenyewe ana kesi kama hii.Awe makini sana kwa kila anacho kiongea,wakili upande wa mashtaka anaweza kukitumia hikohiko kumminya mahakamani.
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,626
2,000
Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni.

Nitawapa updates soon

Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
View attachment 1752846

Mpaka leo sijui ni Kitu gani Kizuri Watanzania wasiojielewa wameona kwa Msanii Mshamba ( Mbwiga ) kuwahi kutokea nchini Tanzania kama Harmonize sijui Kondeboy wenu.

Alijazwa tu Kiburi na Baba yake aliyenyakuliwa kilazima na Israeli nae akajiona yuko juu wakati hana lolote. Na asisahau ajue kuwa huu ni Utawala mwingine wa Bidashi.

Kama Msanii Majirani zake tu Kwake Mbezi Beach ( mita chache ) kutoka Massana Hospitali ( kama hajahama bado ) hawaheshimu na Kuwadharau ndiyo mnataka huku nje ( Kwetu ) awe ni Mtu mwema?
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
183,466
2,000
Menina hana kesi maana yeye hakusambaza. Na alijiwahi kugeuza upepo kuwa victim kama anavyofanya harmo.

Mwijaku wa ajabu sana na anashangaza
Ok kwa hiyo Menina hana case mpaka sasa?

Naona Mwijaku nae kalivalia njuga hili swala,cha ajabu yeye mwenyewe ana kesi kama hii.Awe makini sana kwa kila anacho kiongea,wakili upande wa mashtaka anaweza kukitumia hikohiko kumminya mahakamani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom