Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

siamini kama kuna kina kirefu kuliko cha serikali?
wauza madawa ya kulevya ni majambazi hatari sana.....tuwafichue wote.
Ila kwa moto huu wa polisi majambaz wezi wenyewe watakaa pembeni
Na sahv hata kama una ndg jamaa rafiki
Asijichanganye na makundi ya ovyo,au kukaa na mtu asiyemuelewa....
Maana ikitokea balaa ukijumuishwa kesi unayo

Ova
 
Hizi ndo habari napendaga kuzisikia,sio zile za polisi wakamata majambazi.Jambazi unamkamata ili iweje!
 
Termination = permanent cure for a troublesome to the society.

Isolated from the society to hell.

Good job jeshi la polisi if the deceased was really bandit!!

-Kaveli-
 
Kwamba unawajua si bure utakuwa mmoja wao maana hata kwenye mada za madawa upo vizuri kwenye ufafanuzi wauza madawa wote wa Dar unawajua.
Polisi wanawajua majambazi vzr

Na si majambazi na watuhumiwa mbalimbali wa uhalifu kwasababu files zao wanazo na maskani zao wanazijua na maskani korofi zote wanazijua

So uamuzi wao tu
 
Wakuu huko kijijin nilikokulia, kuna kisa kimoja cha jamaa jambazi. Naogopa kukiweka humu kwa sababu 2.
1 Nikisimulia kama kisa kilivyo watu wanaweza kunijua. Labda nitumie codes.

2 Naamini wengi watadhani ni stori ya kutunga (chai)

Kwa ufupi ni hivi, huyu jamaa alikuwa mshirikina hatari alikuwa na machale ya ajabu sana. Ukimwendea kiroho safi unamkuta tu vzr, ukiwa na nia mbaya anapotea kimiuijiza.

Yule mjinga, alisumbua sana zaidi ya mwaka Polisi wanahaha huku na kule. Amini usiamini..Ili polisi wamkamate libidi washirikiane na wazeee waingie kwenye ushirikina.

walichokifanya kwanza waliua machale yake. Siku ya kumkamata walimkuta bar akila maisha na crew yake. Walipofika wakamchapa na lile jani la mgomba la kati kati (lile changa ambalo bado limejikunja) halafu wakamvisha (wakapitisha) kichwani underskirt. Hapo hakuwa na ujanja wowote. Alikamatwa kama kuku. Yule jamaa alipata taabu sana...yaan aliteswa zaidi ya Yesu. Wiki nzima yupo kituoni ni kichapo..kichapo kipondo. Baadae walimmaliza hata hawakupeleka mahakamani. Mpaka wanamuua, alikuwa hana baadhi ya viungo vya mwili. vidole, masikio, minofu ya baadhi ya maeneo ya mwili n.k maana alikuwa anakatwa analazimishwa kula nyama zake.


Mpaka anakamatwa alikuwa ameua watu wengi sana huyu mwamba.

Hapo ni 1990s to less than 2001
 
Mwananchi wametumia kanuni ya uandishi habari kisahihi. Hayo ni madai ya polisi na hakuwa amepelekwa mahakamani. Kuna visa vingi tu walishaua watu na polisi wakadai ni majambazi ila baadae ikajulikana siyo.
Ni kweli usemacho mkuu.Wakumbushe ile ishu ya aliyekuwa kamanda wa upelelezi mkoa wa Dar Mr Zombe.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi
#MwananchiUpdates


Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
Pigia Yesu Makofi👏👏
 
Kwamba unawajua si bure utakuwa mmoja wao maana hata kwenye mada za madawa upo vizuri kwenye ufafanuzi wauza madawa wote wa Dar unawajua.

Ukipiga mishe za mtaani hayo mambo yanajulikana hivyo kuyajua ni rahisi si lazima kuwa mshirika
 
Ila kwa moto huu wa polisi majambaz wezi wenyewe watakaa pembeni
Na sahv hata kama una ndg jamaa rafiki
Asijichanganye na makundi ya ovyo,au kukaa na mtu asiyemuelewa....
Maana ikitokea balaa ukijumuishwa kesi unayo

Ova

Polisi wamepamba moto balaa

Yaani mambo ni moto vibaka wakalime kwanza
 
UKISIKIA JAMBAZI NI MMAKONDE Kimbieni tu. Wale jamaa wanajua kutumia Bunduki balaa, hawapotezagi Risasi hovyo. Kumbukeni kule MKIRU nusu ya wale jamaa ni kutoka Mtwara walikuwa wanapiga risasi ile kikuda.
Wale wamakonde kule kwenye suala la kimedani waacheni tu.
 
Back
Top Bottom