Sio ar tu PWANI YOTE ILIKUWA INAKALIWA NA WAISLamu, BABU YENU NYERERE NDIO ALIWAVUTA NYIE, akajidai kuanzisha vijiji vya ujamaa akawaleta pwani huku, tena mumshukuru sana nyerere nyie, leo mnajiona wajanja sana nyie na kuleta kejeli na matusi mengi !
Haya mmerudi ktk udini... nilijua tu mwisho wa yote haya tutakuja fikia hapa.. Sasa huyu kaitwa Muislaam kwa sababu kajiandikisha jina lake kama Mohammed Mtoi na ijewe kuwa ni lazima kwa Muislaam kumtambua Ukristu iwe Udini?..halafu kuna hili..Siamini kama huyu mtu anejiita Mohammed mtoi eti ni muislamu, amesoma wapi dini ya kiislamu inayomfundisha hivo? au ndio mradi baba na mama amezaliwa muislamu basi na mie muislamu, unatakiwa uende madrasa ukasome ili uelewe vema dini ya kiislamu inakufundisha nini juu ya hawa watu wa upande wa pili walio na chuki na dini yako! hebu angalia humu JF chuki wanayoitoa na kejeli teleee unasikitisha tena inafaa uombewe Duaa ili uzinduke ndugu yangu kama kweli wew eni musilmau kina ambacho mimi nina shaka nacho ..
Yaani hili taifa haliwezekani tena.. TumekwishaKwanini waka msumbue mwislamu mwenzao na kuna mkristo wa kumpigia kelele?
Pamoja Mkuu, haya matusi yamenibadilisha hata mimi.
pole sana mkuu! siasa zimekufanya umeshindwa kujitambua!... angalia hawa wanaotukana waislam! zikija thread za chadema hawa hawa utakuta wako mstari mbele kutetea chadema na kutukana CCM ,... wameshahusisha CCM pamoja na uislam! ....
kuna mtu hapo juu kasema uislam bora ufutwe.. mwengine kaenda mbali na kutuita wapumbavu.. unategemea mtu kama huyu nije ni support kwenye siasa! while katukana iman yangu..?! hata kama unachukia CCM tetea iman yako kwanza , unajiita muislam huku upo upande wa hawa wenye kutudhalilisha waislam kwa maneno ya kejeli..?
Mimi nilijiunga 2006 - 2007 enzi za era za jambo forums nilikuwa neutral sana .. nilichoka na kejeli za hawa watu kwa waislam nikaamua kutengeza ID hii kwani nilishindwa kuvumilia baadhi ya watu humu wakidhalilisha imani yangu!..
nakupa pole tena.. kwa kuweka maslahi ya siasa mbele na kufurahi watu wakidhalilisha uislam kwa maneno yao ya kejeli na wajiita muislam..
Siyo waislam wote ni watu wa amani.Kuna mujahedeen ama Alkaeda nk.Sasa hao utawakuta wanapata baraka za misikiti.Nguvu za maextremist wenye msimamo mkali imewashinda moderates.Na consenquences ni for all regardless.And that's the sad part of it.Kwa kuhitimisha tu, waislamu woote walioandamana leo, wakati kipindi cha siku saba zilizoongezwa kwa ajili ya sensa bado hakijamalizika, pamoja na waislamu woote ambao 'wameyamiss' maandamano hayo kwa namna moja au nyingine hasa wale wanaojiita Great Thinkers wa humu, woote hao motherfantaz. Uchochezi tu mpaka kwenye mikalio yenu, mnatia hasira mjue, mbona wakristo hawapo hivyo? Na wanashirikiana kwenye mambo mengi sana na matokeo wote tunayaona. Ninyi motherfantaz ikija vita dini mlipuane wenyewe, na hao wapumbavu wanaowajaza ujinga. Nyambaf!
CDM ni chama cha Siasa, misingi yake ni kuwakomboa wananchi kutokana na Dhulma wanayofanyiwa na CCM. Serikali ya CCM imetudhulumu Waislam kwa muda mrefu, matokeo yake Waislam wengi tupo nyuma kielimu, kiuchumi na kifikra. Serikali ya CCM baada ya kuchukua madaraka, Ilihakikisha kuiua kimaendeleo Miji iliyokuwa Mikubwa kimaendeleo na yenye waislam wengi kama vile Lindi,Tanga, Pwani, Tabora, Kigoma nk. Kabla ya Uhuru, tulikuwa na Mahakama ya Kadhi, Serikali ya CCM, ilipiga marufuku na kutuanzishia Bakwata, kuweka makada wao kuiongoza kutudhibiti waislam.Wewe roho itakuuma sana na bado hao ndio Waislam, Chadema bila kuwa kitu kimoja na Waislam kuchukuwa nchi ni ngumu.
Njaa mbaya sana na kukosa elimu pia si kitu chema hata kidogo
Wanaandamana katika mambo yenye kipaumbele kidogo na kuacha yenye kipaumbele kikubwa.
wangeandamana kudai kuongeza majengo ya chuo kikuu cha Waislamu morogoro hawa jamaa wangekuwa mbali sana kielimu. tangu Mkapa alipowapa majengo hayo ya serikali miaka 10 iliyopita hawajaongeza darasa hata moja.
According to logic, kwa kuwa (IF) 'CDM ni chama cha waandamanaji', na (AND) 'waislaam wameandamana na Rejao ni muislam (anawasupport waislam), basi (THEN) Rejao na waislam walioandamana ni CDM.
Kwani sasa hivi ni nani anayewadharu na kuwadhulumu waislam? ccm au chadema?