Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Nimekuelewa mkuu, but mazingira yale yamenitatanisha na kunikwaza sana. Nilikuwa karibu na eneo la tukio ikabidi nikae mbali kabisa. Thanks kwa ufafanuzi zaidi. Tupo pamoja.

Pamoja Mkuu ndio kuelimishana huku
 
Hapana,Tanganyika haina huu ujinga,solution ni kwaachia Zanzibar kisha muhamie huko.Mkitaka kutawaliwa na Sultan,mjuwe tutazichapa maana atadai Pwani,Kilwa,Dar na kwingineko.Hatuwezi kuacha kufanya shughuli za kimaendeleo kwasababu ya wajinga wanaotumika.It is just my opinion,just like yours.

Kwanini wewe Mushi huondoki Dar ukatuachia Dar yetu na kushikilia sisi tuende Zanzibar, hivi unaijua Historia ya Dar au? hebu soma vitabu vikuambie Dar na pwani yote ni ya watu wa aina gani, mpaka lipokuja kibabu chenu nyerere kuja kuwajaza nyie , na nakwambia ipo siku yenu !
 
nani hapo shehe ubwabwa, Allah au Muhammad? laanatullah! unafanyia istizai ayat?
Hawa ndio CHADEMA na wakipata utawala itakuwa ni
zaidi ya haya, hebu waislamu jioneeni wenyewe.
 
quote_icon.png
By makoye2009


  1. Hivi kipindi cha siku 7 za nyongeza ya SENSA zimeshaisha eh????!!!! Tarehe 26/08/2012 mpaka 1/09/2012 na pili Tarehe 2/09/2012 mpaka 8/09/2012 ambayo ni kesho maana leo ni tarehe 07/09/2012. Sasa hawa jamaa kwanini wameruhusiwa kuandamana ilhali amri ya kuzuia mikutano na maandamano kupisha sensa haijaisha??? Nauliza tu!
  2. IGP Mwema na Kamanda Kova na vijana wao wako wapi? Au kwa vile Kiwete,Mwema,Kova na hawa waandamanaji wanaswali msikiti mmoja?? Nauliza tu!
  3. Hivi haya maandamano yangelikuwa ni ya CHADEMA yangeriluhusiwa kufanyika kwa utulivu namna hii???Nauliza tu!
Mkuu haya maswali kama ni mtihani, ukiwapa Kova, Mwema, Nchimbi na Chagonja na hata ukiwaruhusu wafanye discussion, watafeli tu...
 
View attachment 64216
Nami nipo hapa nawasupport waislam wenzangu. Mpaka kieleweke

According to logic, kwa kuwa (IF) 'CDM ni chama cha waandamanaji', na (AND) 'waislaam wameandamana na Rejao ni muislam (anawasupport waislam), basi (THEN) Rejao na waislam walioandamana ni CDM.
 
Hapa ndipo unapo potoka sasa! Unachotakiwa kukifanya wewe ni kuwajibu kwa hoja sio uchochezi na kuleta mifarakano ya dhahiri. Mimi sina urafiki na mtu ane nidharau au kudharau dini yangu na naamini siasa haija nipofusha kama unavyo niwekea maneno mdomoni! Hata hivyo haimanishi kuwa kwa kuwa Joseph kanidharau au kadharau dini yangu basi niwe adui wa kina Joseph wote hapa ulimwenguni! Uislamu hauendei hivyo mkuu.

Najua kuna watu wenye akili ndogo ambao wana maneno ya dharau au kudharau dini za wenzao! Watu wa namna hiyo una deal naye individually sio collectively, na una deal nae kwa kumuelimisha ili baadae aone tofauti ya upande wake na upande wa pili. Vinginevyo kama nita simamia maneno yako, kimantiki itaonyeshakuwa dini yetu nii dini ya uhasama na uadui wakati si kweli na si sahihi.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Huna nyimbo Mohammed Mtoi, soma mwanzo wa thread mpaka mwisho, na sasa hivi Ritz amekuletea mtu anakejeli hata wale walorukuu kumuomba Rehma Mola wao kuwa watu wanaopenda mambo ya Mombasa ! give me a break! hao ndio unataka uwakumbatie just kwa sababu unaipenda chadema ! angalia ndugu yangu unakoelekea utakuja kosa radhi na rehma za Muumba wako useme umefanyiwa kumbe ni imani yako mbovu na dhaifu !
 
According to logic, kwa kuwa (IF) 'CDM ni chama cha waandamanaji', na (AND) 'waislaam wameandamana na Rejao ni muislam (anawasupport waislam), basi (THEN) Rejao na waislam walioandamana ni CDM.

Fuzzy logic kwa sababu waislam wanaweza kuwa si CDM.
 
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.
Maandamano ya ajabu hayo! How come waandamane ili wenzao waliokamatwa kwa kukataa kuhesabiwa waachiwe, kwa nini hawakuwashinikiza walipokataa kuhesabiwa ili wahesabiwe? Hao wameshinikizwa wafanye hivyo ili kutengeneza some kind of diversion kwa ajili ya jambo ku-divert the 'big talk' of the country right now. Kama 'kikombe cha Babu' kilivyotumika wakati ule. Sometimes hawa waislamu na ccm huwa naona kama baba mmoja mama mmoja, matumbo tu ndio mbalimbali. Wanatia aibu waislamu wenzao wanaofuata sheria na kutokubali kutumika. Na hapo hata hao policcm kamwe hawato-flex a muscle, maelekezo kutoka kwa wakubwa!
 
Hapa ndipo unapo potoka sasa! Unachotakiwa kukifanya wewe ni kuwajibu kwa hoja sio uchochezi na kuleta mifarakano ya dhahiri. Mimi sina urafiki na mtu ane nidharau au kudharau dini yangu na naamini siasa haija nipofusha kama unavyo niwekea maneno mdomoni! Hata hivyo haimanishi kuwa kwa kuwa Joseph kanidharau au kadharau dini yangu basi niwe adui wa kina Joseph wote hapa ulimwenguni! Uislamu hauendei hivyo mkuu.

Najua kuna watu wenye akili ndogo ambao wana maneno ya dharau au kudharau dini za wenzao! Watu wa namna hiyo una deal naye individually sio collectively, na una deal nae kwa kumuelimisha ili baadae aone tofauti ya upande wake na upande wa pili. Vinginevyo kama nita simamia maneno yako, kimantiki itaonyeshakuwa dini yetu nii dini ya uhasama na uadui wakati si kweli na si sahihi.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

This is a mentality all of us should share. Safi sana mkuu.
 
Wapo wakristo hata ndani ya ccm wanaoukejeli Uislam. Hao wapo okay??
Tatizo lako mtu akipinga vitu kama dhana ya mfumo kristo, MoU au kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi basi huyo ni adui wa waislam. Wapo waislam wangapi wanaopinga na wala hawataki kuisikia mahakama ya kadhi?
Wewe madhambi huwa unaona ni ya chadema tu ila wakifanya ccm unaandamana huku unawasifu...bogus kabisa...

Mie siwezi kukubaliana na mtu ambaye anakashifu dini yangu awe Chadema, CCM, CUF, NCCR Mageuzi, UDP, lazima tapambana nae mie sio bwe'ge najitambua...nina muheshimu yeyote anayeniheshimu.
 
POLISI NA WAANDAMANAJI WAFIKIA MAKUBALIANO NA Vigogo wa mambo ya ndani,na waislam wote walikamatwa nchi nzima kwa ajili ya Sensa kuachiwa huru,maandamano yameisha,barabara zimefunguliwa..TAKBIIR..WAISlam kukutana msikiti wa Kichangani kwa ajili ya kupiga simu nchi nzima,kujiridhisha kama kweli wenzao wameshatolewa.SOURCE Clouds Fm -Jahazi
 
Nataka nijiunge na dini ya kiislam, kwa ajili kufanya utafiti kwa nini wanakua wabinafsi sana, pia kwa nini wamekaa kishalishali.??

Sio wabinasfi ila WANA UMOJA, kwetu waislamu kwanza dini vitu vingine vinakuja baadae, ubinafsi wanao wakristo ambao kila kitu kinachowahusu waislmau wao wanakipinga kama Qaadhi, OIC na mambo mengine ambayo ni ya kuimarisha imani za Waislamu wao wanapinga ilhali wao wameruhusiwa kujiunga na asasi zao za kikristo kupitia kanisa, ila waismu aaa! sasa nani mbinafsi ndugu yangu ! pima kwanza kamba hujaongea !
 
Yaani wewe unashangaza sana, katika hao hao walokupa like angalia hii post mtu amecomment "Hivi hakuna msajili wa dini Tanzania?
Labda angekuwepo angefuta dini ya uislamu kwenye kumbukumbu zake...lol!"

Hao ndio marafiki zako unaowatetea na kujiita eti wewe ni musilam unasikitisha na kutia imani sana ... nina wasiwasi na uislamu wako! wao wewe hawakutambui na wameenda mbali wanataka uislamu ufutwe , wewe unataka uwatambue ! loh! pole sana kijana !nadhani unafurahisha barza weyye!

Mkuu wangu.
Alisema huo ***** ndio wa kudeal nae na kumuelimisha asitukane dini yetu! Haimanishi kwa kuwa yeye kanitukana basi niseme nimetukanwa na wakristo wote wa jf na hivyo niwe na chuki nao wote na hata ikiwezekana niwajengee uhasama na chuki mbaya ya udini! Huo utakuwa ni uenda wazimu kaka. Uislamu wetu hautufundi chuki za namna hiyo mkuu. Kama uislamu ungekuwa wa namna hiyo tusingekuwa tunaishi na watu wa dini nyingine kwa amani na ushirikiano huko mitaani.

Fikiria nje ya kasha mkuu.
Wabillaah tawfiq, salaam alykum.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Nadhani wanatumiwa kubalisha mjadala wa kitaifa ambao umewazidi uzito serikali. Hakuna kingine. Wanatudanya kwa kutumiwa na serikali ya ccm

Acha chuki.Unataka kusema wote walioandamana na wanaohudhiuria mikutano ya CDM ni wakiristo???
 
Mohamed Mtoi, Muislamu wa siasa kali ana sifa gani? Mention hata 3. Eti nawe Muislamu i doubt
 
Nashindwa kuelewa ni kwanini haya maandamano yanaruhusiwa bila kibali wala taarifa ila maandamano yanayotolewa taarifa yanazuiliwa na polisi. Tena polisi wako wanaangalia tu wala afawanyikitu hii litawatafuna sana watawala hii ni dhambi kubwa sana wanafanya na italeta mgawanyiko mkubwa sana kwani walianzisha dhana ya udini sasa unawatafuna wanashindwa kuuzuia
 
Kwenye vijiwe vya kahawa?
Hivi ukiwa muislam ni lazima uwe mnafiki? Cdm wakifanya maandamano ni kelele kuanzia radio iman na asilimia kubwa ya mashehe ni kelele ila chochote nyie mkijisikia kukifanya kwenu ni haki kwa wengine si haki. Acheni ubinafsi hivi ni lini ccm imekuwa nzuri kwa waislam?
Kwa nini kila mmoja asidai haki zake na asiwepo wa kumuingilia mwenzie? Ila kwa nyie mnao tumiwa hamuwezi kukubali. Maandamano yenu ni haki kwa wenzenu ni halam hapo kuna usawa? Na ndo kilio cha waislam usawa ila wakionewa cdm mnafanya sherehe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom