Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Muhimu ni muhimu serkali IJIRIDHISHE KWANZA;
Kama waliokataa kujiandikisha sensa wamevunja sheria! Na hawa wanaoandamana nao wamevunja sheria!.
KAMA WOTE HAWAJA VUNJA SHERIA YA NCHI BASI WAACHWE WAFAIDI HAKI ZAO ZA KIRAIA!

Laa kama wameivunja sheria hapo ni KUMKOMA NYANI GLADI PIGA UA GALAGAZA, NA HAENDI MTU THE HAGUE!
 
Rejao, ardhi yote ni Twahara/safi labda kuwe na mikojo/kinyesi kibichi. Na pia kama maji hamna unaweza kutayamamu/kupangusa chini then mkononi na usoni. Kisha unaweza kuswali hamna kikwazo, kama ni Muislamu soma Mlango wa Udhu utaona yote. Pamoja Mkuu
mnyanyaswaji, soma comment ya UTAJUA hapa chini utaelewa mazingira ya hilo eneo ambayo swala imefanyikia.
Yaani hapo nazani Suala la udhu walilisahau, kwani kuna mifereji michafu ya mkojo na kinyesi huwa yanatiririka pale.
 
Last edited by a moderator:
Kwan hawakujua kuwa wakigoma kuhesabiwa watakamatwa..?? Hawakuijua hiyo sheria kabla?? Mbona ilitangazwa sana, au kwasababu walijifungia misikitini ndo mana hawakuisikia..!! Wanataka waachiwe huru kwa sheria ipi?? Kwanza hayo maandamano yana kibali/ wameruhusiwa?? Polisi hizo ndo sehem za kuchukua hatua kali, sio kule kwenye ufunguzi wa matawi..
 
Yaani hapo nazani Suala la udhu walilisahau, kwani kuna mifereji michafu ya mkojo na kinyesi huwa yanatiririka pale.

Acha upitoshaji na kukisia, waliokuwepo hapo wanaona kama ardhi safi au lah. Usianze udaku wako wakati hujui kitu
 
Chadema uko wewe na arfi tu. Zitto wala usimuhesabu.

Hii ndio akili ndogo inayo tawaliwa na akili kubwa! Kuendelea kubishana na wewe unae eneza chuki ya udini ni kutokutendea haki dhamira yangu na kiwango changu kidogo cha madarasa niliyopita. Endelea mkuu muda wa swala umeshafika twende tukaswali umuombe Mungu akuepueshe na hiyo dhambi ya uwongo! chadema ina waislamu 2?! Astahqaful llaah.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Huwaoni polisi magamba na silaha zao za moto wakiwezengeazengea tayari kufanya mauaji mengine?

Mkuu BAK,
Nakuhakikisha hao hawatapigwa mabomu, Mkuu wa Nchi, IGP Said Mwema, na Kova hawawezi kuwadhuru wenzao. Thubutu ungekuta ni CDM au Wakristu, leo tungepata misiba mingi maana mji wenyewe posta ni kitovu na watu ni wengi!!!! Tanzania haina udini!!!!!! Ha ha ha ha!!!! Haya ni mambo ya awamu ya nne.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
It's very unfortunate that asilimia kubwa wanaokashifu maandamano haya tena kwa lugha za kejeli ni wale wale wanaofahamika kwamba ni wafuasi wa CHADEMA!!

Mkuu, wenye akili wameshang'amua hilo zamani sana kuwa, kuna uhusiano mkubwa sana baina ya kanisa na hiki chama.
 
Mkuu wa nchi yupo wapi au kalala? Maana huwa hakosi kutoa oda kuzuia maandamano ya amani kwa silaha za moto
 
Sasa hapa ndipo napoishangaa hii intelijinsia ya polisi.Polisi hawakujua kuwa kuna maandamano yamepangwa?

Ingekuwa ni chadema intelinjsia ya polisi ungeisikia.

Ovyo kabisa.

This is double standard.

Wa kuzuia awe nani!? Selemani kova,Saidi mwema au Ramadhani Ighndu!?
 
Nakubaliana nawe 1000% Polisi ndiyo huwa chanzo cha vurugu katika maandamano -- hasa yakiwa ya CDM.

si ili waseme chadema ndio wanaofanya fujo.mara ngapi chadema inafanya mikutano na kunakuwa na amani tele wakija tu polisi wanaanzisha vurugu na fujo ili kuleta picha mbaya.she.......................i zao
 
Aisee...kumbe polisi wapo ila wanalinda
attachment.php
 
umoja huu ungesaidia sana kama ungetumika katika mambo kama elimu na mahospitali.

wenzenu dini ile wako kimya hivi sasa utakuta wanajadiliana kupanua mashule na mahospitali.

Kwa kutumia pesa za MoU kati ya kanisa na serikali, yaani kodi zetu na baadhi kutoka vatican ... je huoni kuna haja na sisi waislam turuhusiwe kujiunga na OIC ili tufaidike na kujenga mahospitali na mashule ! na mkaacha kututukana na kutukejeli!
 
mbona sijaona vile vitambaa vya hali ya hatari wanavyowekaga police wakati wa kuwatawanyisha CDM kwenye mikutano yao ya amani au sasahivi hawana vimeisha kule Iringa.
 
Mimi huwa namshangaa sana Ritz! Hata kama ni muislamu wa siasa kali uislamu wetu hauna chuki na upande wa pili namna hiyo! Kwanza muislamu yoyote uislamu wake hauwezi kukamilika kama hakiri kutambua uwepo wa ukristo kama jinsi ukristo unavyotambua uwepo wa uislamu! Uelewa mdogo ndio unamfanya Ritz anakuwa mbumbumbu wa mambo ya dini kiasi hiki!

Hapa leo anawatetea ccm na kusahau kuwa ccm ndio waliichafua cuf kuwa ni chama cha udini n
a kigaidi, baadae haohao wakasema chadema ni chama cha wakristo lakini wao hawasemi kuwa ni chama cha dini gani! Sasa ukija hapa ukimuona jinsi ritz anavyotoa povu la udini unajua kabisa aidha uelewa wake ni mdogo au yuko hapa kwa kazi maalum ya kipato kutoka Lumumba.

Mimi ni muislamu lakini napingana sana na misimamo ya Ritz! Alisha diriki kuniambia Mohamedi na chadema wapi na wapi?! Huu ni upovu iliopiitiliza na tangu siku ile niliamua kumsamehe bure na kumkabidhi Mungu maana nimeona ni mtu ambae ana uabisha hata uislamu wenyewe.



Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

pole sana mkuu! siasa zimekufanya umeshindwa kujitambua!... angalia hawa wanaotukana waislam! zikija thread za chadema hawa hawa utakuta wako mstari mbele kutetea chadema na kutukana CCM ,... wameshahusisha CCM pamoja na uislam! ....

kuna mtu hapo juu kasema uislam bora ufutwe.. mwengine kaenda mbali na kutuita wapumbavu.. unategemea mtu kama huyu nije ni support kwenye siasa! while katukana iman yangu..?! hata kama unachukia CCM tetea iman yako kwanza , unajiita muislam huku upo upande wa hawa wenye kutudhalilisha waislam kwa maneno ya kejeli..?

Mimi nilijiunga 2006 - 2007 enzi za era za jambo forums nilikuwa neutral sana .. nilichoka na kejeli za hawa watu kwa waislam nikaamua kutengeza ID hii kwani nilishindwa kuvumilia baadhi ya watu humu wakidhalilisha imani yangu!..

nakupa pole tena.. kwa kuweka maslahi ya siasa mbele na kufurahi watu wakidhalilisha uislam kwa maneno yao ya kejeli na wajiita muislam..
 
mnyanyaswaji, soma comment ya UTAJUA hapa chini utaelewa mazingira ya hilo eneo ambayo swala imefanyikia.

Rejao nishamjibu, mi ndio njia yangu kila siku hilo eneo analolitaja, zaidi ya barabara kuchimbika kidogo opposite ya Posta hse na Wizara mambo ya ndani karibu tu na bank apo sijaona hayo maji anayosema yeye. Na hao hawaswali kumuonyesha mtu bali wanataka radhi za Muumba wao, sidhani kama wanaweza poteza muda wao kuswali sehem chafu mbichi. Nadhani ushanielewa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom