Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Ponda si alipendekezwa na waumini agombee ubunge?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
intelegencia ya kipolisi ilikuwa wapi hadi wakafanikiwa kuizingira wizara ya mambo ya ndani?
au intelegencia ya kipolisi hufanya kazi kwa makini na ufanisi zaidi kwenye maandamano na shughuli za CDM?
Mimi amenishangaza sana huyu Mushi tena jina lake la kichaga, amejisahau kabisa, amekaribishwa kama babu yao nyerere sasa atupande vichwani eti twende zanzibar, nadhani haijui historia ya darisalama akasome vizuri tena sio dar akasome historia ya PWANI, kuanzia MBWA MAJI KIGAMBONI MPAKA PANGANI TANGA ...
Mkuu Ikulu nendeni nyie sie tuna madai yetu...usitupangie.
Ashakum si matusi kaka, nimepita hapo mida ya kama masaa mawili yalopita, wanatiana hamasa wenyewe "..hatuondoki mpakaaaaa......kielewekeeeeeee"...ntapita tena hapo mida ya saa 2 na nusu usiku,najua kitakuwa hakijaeleweka bado, ila watakuwa hawapo..tehe tehe..watisha nyau!
Waambie Ritz, Uislamu/akhera kwanza then Siasa/dunia baadae. Hata tukiwa wachache humu JF basi mpaka mwisho wa pumzi Uislam utatetewa then Cdm/ccm badae.
WAISLAM WATAANDAMANA TENA WAKIJUA MAANDAMANO NDO SULUHISHO LA MATATIZO YAO.
Take my Words
Mkuu Ikulu nendeni nyie sie tuna madai yetu...usitupangie.
Dar si Zanzibar mkuu,Dar ni Tanganyika,ama hujanisoma vyema.Na nimetoa ushauri tu,ili tukae kwa amani side to side.Halafu kama wewe ulizaliwa Dar,nani kakwambia Dar ndo ya waislam?hiyo ni chini ya bwana yenu Sultan.Kama mnataka amani,Zanzibar inawatosha kabisa mkuu.Otherwise tuombe tu itokee wale moderates wakufukuzeni wenye msimamo mkali kutoka misikitini.Kwanini wewe Jmushi1 usirudi kwenu Moshi utuache sisi na Dar yetu?? Ukijibu hilo then tutazungumzia issue ya ZnZ.
Hakuna kitu kama hicho...waulize wenzako wa mwembechai...mnatunzwa kama mayai na serikali ya ccm kwa sababu nyinyi ni mtaji ambao hata baadaye utatumika. Usijivunie sana, unatakiwa uone aibu...hao ndio waislam bwana, tukiamu tunaweza na hakuna wa kutuzuia.
Mwenyezi Mungu atuzidishie kheri.
Wanaotudhulumu na kutunyanyasa mwisho wao hauko mbali, watambue kuwa waislam wa sasa sio wa mwaka sitini, wanajitambua zaidi.
By Mohamedi Mtoi![]()
![]()
Mimi huwa namshangaa sana Ritz! Hata kama ni muislamu wa siasa kali uislamu wetu hauna chuki na upande wa pili namna hiyo! Kwanza muislamu yoyote uislamu wake hauwezi kukamilika kama hakiri kutambua uwepo wa ukristo kama jinsi ukristo unavyotambua uwepo wa uislamu! Uelewa mdogo ndio unamfanya Ritz anakuwa mbumbumbu wa mambo ya dini kiasi hiki!
Hapa leo anawatetea ccm na kusahau kuwa ccm ndio waliichafua cuf kuwa ni chama cha udini n
a kigaidi, baadae haohao wakasema chadema ni chama cha wakristo lakini wao hawasemi kuwa ni chama cha dini gani! Sasa ukija hapa ukimuona jinsi ritz anavyotoa povu la udini unajua kabisa aidha uelewa wake ni mdogo au yuko hapa kwa kazi maalum ya kipato kutoka Lumumba.
Mimi ni muislamu lakini napingana sana na misimamo ya Ritz! Alisha diriki kuniambia Mohamedi na chadema wapi na wapi?! Huu ni upovu iliopiitiliza na tangu siku ile niliamua kumsamehe bure na kumkabidhi Mungu maana nimeona ni mtu ambae ana uabisha hata uislamu wenyewe.
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
WAISLAM WATAANDAMANA TENA WAKIJUA MAANDAMANO NDO SULUHISHO LA MATATIZO YAO.
Take my Words
Ukitaka kujua Wamechemsha ni HAPA! Wameshahesabiwa na Wanarudishiwa Watu ambao Wameshahesabiwa
kazi kweli kweli siku ya sensa imeisha au ni kwa CDM tu ambao ahawatakiwi kufanya hata mikutano ya ndani?
Nchi ikikombolewa,hao ni wa kukimbizia mbali.Sikufichi mkuu,nchi ikikombolewa,wale mafisadi watakuwa targeted,too sad ikitokea ni wenye msimamo mkali,itakula kwao.Hao ni mafisadi wanawatumia mujahidina.MIMI SINA shida... Nilishaondoka nilisha JUA WAISLAMU wataiharibu NCHI YA TANGANYIKA... Nimeikimbia...
LAKINI nilipo ninacampaign kabambe... Mtanisikia... ETI SENSA ni ISSUE baadaye kupanda MABASI na Wakristo itakuwa Issue
Kama Nchi Zingine za Kiislamu... Yaani Visa havitaisha...