Hakuna Muislaam wa siasa kali wala baridi. Uislaam ni Uislaam tu. Mafunzo yake basically yanatokana na Qur'an na Qur'an ni moja tu.
Hayo ni maneno yanayojengwa na wasio waislaam ili kuwatenganisha waislaam na kuyatamk akwako na kuyakubali ina maana wewe umemeza, chambo, ndoano, chubwi na mshipi. Tafadhali badilika na uelewe Uislaam ni mmoja tu na usidanganyile wala usidanganywe kuwa kuna Uislaam wa siasa baridi au siasa kali.
Waislaam tunaelewa kuwa wapo wanaojiita Wakristo lakini Uislaam hautambui kama kuna Dini ya Mwenyeezi Mungu inayoitwa Ukristo.
Ingekuwa kweli umesameh hii post yako isingebeba jazba namna hii.
Uislaam unatiwa aibu na wale wanaokuwa na mashtani wenzao husema kuwa sisi tu pamoja nanyi wale tulikuwa tunawadhihaki tu. Uislaa hauingii aibu kwa kuusemea kwa wema japo neno moja tu la mafundisho yake. Kama unayeelewa vizuri mafundisho ya Kiislaam hutakiwi kuona haya kwa Uislaam wako. Kipi kibaya katika Uislaam hata kikufanye uone haya?