Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Pro-CDM, mnazidi kujianika ,
Ni kwa nini inapotokea hoja inayopinga maslahi ya CDM mnatetea hadi mishipa inawatoka na ikija KWA UPANDE WA WAISLAMU MNAUNGANA KUWAPONDA HIVYO?
Hali hiyo mnapelekea kutugawa KIMISINGI YA IMANI ZETU .JISAHIHISHENI WADAU
 
dar yenu mmeitoa wapi bana wazee wa kugoma.

Sio ar tu PWANI YOTE ILIKUWA INAKALIWA NA WAISLamu, BABU YENU NYERERE NDIO ALIWAVUTA NYIE, akajidai kuanzisha vijiji vya ujamaa akawaleta pwani huku, tena mumshukuru sana nyerere nyie, leo mnajiona wajanja sana nyie na kuleta kejeli na matusi mengi !
 
Sasa wewe unataka kufananisha cdm na waislam? Hao walioandamana hapo wameandamana kwa imani zao,wale cdm wanaandamana kwa maslahi ya kigenge flani cha kusini kinachotaka kujipa madaraka kwa njia ya panya,waislam hawajawahi kushindwa sehem yyte duniani wanapotaka kitu kifanyike,na kama huamini fatilia sehem zote duniani ambazo waislam wameminyiwa haki zao kama kuna amani,

Mkuu, ebu tumia mantiki kidogo tu. Kutokuwepo amani mahala fulani, ndo kufanikiwa kwa waislaam?
Mbona unatuaibisha, wote tuonekane ni watu wa vurugu na mauaji yasiyo ya msingi??!!!
 
Mie siwezi kukubaliana na mtu ambaye anakashifu dini yangu awe Chadema, CCM, CUF, NCCR Mageuzi, UDP, lazima tapambana nae mie sio bwe'ge najitambua...nina muheshimu yeyote anayeniheshimu.[/QUOTE
Duh! walioleta hizo Dini wamekaa wanakula bata huko majuu, nyie mmekaa mnagombana huku oh mara dini yangu hivi mara dini yangu vile mwafrika na uislam wapi na wapi? Saudi Arabia ukienda ukaanza kuongea hivyo unaweza ukachanganyikiwa ukaamua na kuacha kuamini maanake wakikuona tu watakuita 'abdi' maanake Mtumwa!
 
hahaaa hawa lazima wana kibali na baraka zote za ikulu ..ndo maana wanajidai na kuwa wajivuni
 

Angalau sasa mnaanza kuonyesha rangi zenu halisi. Hii nimeisikia sana wakati wa uchaguzi 2010 na ndiyo nika conclude kuwa kumbe kuna baadhi ya waislam huwa wanachagua mtu kwa sababu ni dini yao hata kama mtu huyo ni bogus.
Na ndiyo maana mnalalamika mfumo kristo wa serikali ya ccm lakini bado mmeiweka madarakani.
Na ndiyo maana mnaona mnadhulumiwa na mnaandamana lakini bado mnamtetea Kikwete.
Nasubiri kwa hamu sana 2015 ccm watamsimamisha nani?


hata kama CCM hata wakimsimaisha mkristo na chadema mkristo nitaangalia maslahi ya dini yangu kwanza! ... na yupi mwenye kutudharau waislam.. sikuzote nitaweka maslahi ya dini yangu kwanza..
 
Jmushi1 narudi tena kwako, JF inasomwa na watu wengi kutoka sehem mbalimbali, lengo kuelimishana etc. Sasa mtu kama wewe unapokuja na hoja kama hizi za ukanda/chuki za dini je tutafika? Wapo wanaokuja na hoja za CDM chama cha kaskazini/kikristo na wanapingwa vikali, je unajua kwanini? Sababu si lengo la mada za JF, badi kwaajili hiyo nami nakupinga/ntakupinga vikali endapo utaleta ukanda/udinism, na usichukulie advantage ya kusema ooh mbona fulani anasema hivyo. Kuwa GreatThinker usiige kila pumba
Mkuu ni ushauri wenye nia nzuri ili kuepusha haya na kutokuelewana ambapo kunaelekea kubaya.Ni ushauri tu kwanba kwakuwa nimegunduwa madai yenu si yote yanayoweza kutimilizwa Tanzania.Basi Zanzibar si mbali sana,mpewe Zanzibar muishi kwa amani.Wenye kuweka utaifa mbele na wasiochanganya haya mambo wabaki na Tanganyika yao.Hilo litaedelea kutuweka karibu vya kutosha.Ili udugu usiishe moja kwa moja.Ama hupendi ushauri huu?maana sidhani kama tunaweza kuibadilisha Tanzania yote iwe ya kiislam.Ama uamsho madai yenu yapi?
 
Mkuu, ebu tumia mantiki kidogo tu. Kutokuwepo amani mahala fulani, ndo kufanikiwa kwa waislaam?
Mbona unatuaibisha, wote tuonekane ni watu wa vurugu na mauaji yasiyo ya msingi??!!!
kwake yeye hata ukiwa na madaraka halafu ukakimbilia vichakani uawa kama panya basi wewe ni jasiri,kwa anayeona vizuri waislam wanateseka sana heri sisi wapagani.
 
Baada ya maandamano Hatimaye waislamu waliokua wamishikiliwa waachiwa huru souce ITV BREAKING NEWS

yes......! bigup waislamu! Kwani haki haiombwi kwenye sahani hata siku 1, ahsanteni kwa kutuonesha mfano kuwa haki haiombwi bali inadaiwa na hivyo ndivyo walivyofanya babu zetu kule america enzi hizo wakina King Martin Jr na Malcom X ambapo walidai haki za watu weusi na hatimaye haki na usawa ukaja kupatikana huko america.

Thanks all Tanzanian muslums.............. !
 
kazi kweli kweli siku ya sensa imeisha au ni kwa CDM tu ambao ahawatakiwi kufanya hata mikutano ya ndani?
 
dar yenu mmeitoa wapi bana wazee wa kugoma.

Sijakuambia Dar yangu Dar hata wewe unaweza kujenga na kuishi nguvu yako tu, mie napingana na jamaa yako ambae anataka sio tuondoke Dar twende Zenji, au wewe unasemaje unaungana na jamaa yako?
 
Kwanini wewe Jmushi1 usirudi kwenu Moshi utuache sisi na Dar yetu?? Ukijibu hilo then tutazungumzia issue ya ZnZ.
Mkuu ni ushauri wenye nia nzuri ili kuepusha haya na kutokuelewana ambapo kunaelekea kubaya.Ni ushauri tu kwanba kwakuwa nimegunduwa madai yenu si yote yanayoweza kutimilizwa Tanzania.Basi Zanzibar si mbali sana,mpewe Zanzibar muishi kwa amani.Wenye kuweka utaifa mbele na wasiochanganya haya mambo wabaki na Tanganyika yao.Hilo litaedelea kutuweka kribu vya kutosha.Ili udugu usiishe moja kwa moja.Ama hupendi ushauri huu?maana sidhani kama tunaweza kuibadilisha Tanzania yote iwe ya kiislam.Ama uamsho madai yenu yapi?
 
Eti nini? Vidume wameandamana? Kufuata Sheria? Eti wamevunja Sheria? Sheria gani inamzuia mtu kuonyesha hisia zake anaguswa na jambo lolote?

Eti kuna watu wanataka kuandamana kwenda Umoja wa mataifa kudai haki? haki gani? halafu iweje? halafu UN ndio wakupe haki wewe?

We jifiche tu nyuma ya KEYBOARB na kutukana waislam laikini vidume wapo barabarani.

Ashakum si matusi kaka, nimepita hapo mida ya kama masaa mawili yalopita, wanatiana hamasa wenyewe "..hatuondoki mpakaaaaa......kielewekeeeeeee"...ntapita tena hapo mida ya saa 2 na nusu usiku,najua kitakuwa hakijaeleweka bado, ila watakuwa hawapo..tehe tehe..watisha nyau!
 
Sio ar tu PWANI YOTE ILIKUWA INAKALIWA NA WAISLamu, BABU YENU NYERERE NDIO ALIWAVUTA NYIE, akajidai kuanzisha vijiji vya ujamaa akawaleta pwani huku, tena mumshukuru sana nyerere nyie, leo mnajiona wajanja sana nyie na kuleta kejeli na matusi mengi !

Mkuu wangu unajiaibisha bure kwa majibu yasiyofanyiwa utafiti japo kiduchu.
Tunaojua historia wala tusingethubutu kusema "PWANI YOTE ILIKUWA INAKALIWA NA WAISLamu, BABU YENU NYERERE NDIO ALIWAVUTA NYIE".
Unafahamu Ukristo ulianzia wapi TZ? Ni Bagamoyo, kisha ukaenda Zanzibar na bara kote.

Na sababu kubwa ni za kijiografia (jinsi walivyokuwa wanakuja kutoka kwao kwa merikebu) na watawala wa kwao (wenyeji wao-wakoloni) waliowakuta wakati wanawasili.
 




hata kama CCM hata wakimsimaisha mkristo na chadema mkristo nitaangalia maslahi ya dini yangu kwanza! ... na yupi mwenye kutudharau waislam.. sikuzote nitaweka maslahi ya dini yangu kwanza..
Kwani sasa hivi ni nani anayewadharu na kuwadhulumu waislam? ccm au chadema?
 
Ina maana huu umati wote walioandamana hawakuhesabiwa? Na hii ni DSM tu. Basi ukipiga makadirio kwa nchi nzima inawezekana 25 to 30 percent haijahesabiwa. Haya ni madhara ya udini alio asisi JK 2010.
.
 
Mwafrika ukitaka kumtawala huna haja ya kuwa na mabomu kama nchi nyingine,mpe tu vitu viwili
1. Dini na 2.Mwanamke hapo utakuwa umemaliza kila kitu atakuuzia hata urithi wa vijukuu na vitukuun vyake.
Halafu wewe kaa pembeni angalia watavyoanza kuchinjana kugombania Mwanamke na Dini yangu ni bora kuliko yako!
 
Huna nyimbo Mohammed Mtoi, soma mwanzo wa thread mpaka mwisho, na sasa hivi Ritz amekuletea mtu anakejeli hata wale walorukuu kumuomba Rehma Mola wao kuwa watu wanaopenda mambo ya Mombasa ! give me a break! hao ndio unataka uwakumbatie just kwa sababu unaipenda chadema ! angalia ndugu yangu unakoelekea utakuja kosa radhi na rehma za Muumba wako useme umefanyiwa kumbe ni imani yako mbovu na dhaifu !

Mkuu mimi sihitaji kuwa na nyimbo maana sio mwana kwaya wala muimba bongo flavor! Ninacho kisimamia na ambacho nitakisimamia hata kutofautiana na wewe muislamu mwenzangu ni hizi kauli za kuchukia na kuleta uhamasa wa dhihiri kwa watu wa dini nyingine wakati uislamu hautufundishi hivyo. Kama mtu mmoja akileta dharau kaleta yeye kama yeye na nita deal naye yeye na sio watu wa dini yake, dhehebu lake. Huyualiye tukana anahitaji kuelemishwa ili ayaone makosa yake ndio maana hata waislamu wenzetu huwa tunawalingania kwenye dini yetu, sio?

Mkuu. Mimi siamini uislamu wenye kujengeana chuki na uhasama kama baadhi ya waislamu wenzangu wanavyotaka/kuonyesha tuwachukie na kuwajengea uhasama wakristo wote! Najua hawa wanao onyesha chuki za wazi wanazionyesha hapa kwenye bodi lakini chuki hizo haziendi moja kwa moja mpaka kwa masheikh wetu au viongozi wetu wanao tufundisha kuwa uislamu ni dini ya amani na upendo, chuki zao/zenu zipo hapa kwa vile tu ziko.

Naamini kwa haya ninayo yafanya kwa kuheshimu imani za wengine, dini za wengine, utu wa watu wengine na kuwaelimisha pale inapo bidi uzuri wa dini yangu, basi mwenyezi Mungu aliye mwingi wa rehma hata nichukia na kuniadhibu eti kwa kuwa naishabikia Chadema.

Salaam alykum.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 

Is there a DOUBLE STANDARDS ?? Kuna ambao wanafaa kuvurugwa na POLISI na ambao hawafai kuvurugwa?

Yuko Wapi NNAPE NNAUYE??? Atasema nani ajiuzulu??? MUNGU ni MKUBWA... what goes around comes around!!!
 
Huu ndio ustaarabu sio watu wanaandamana hawana hata msumari wanaanza kupigwa risasi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom