Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Huna nyimbo Mohammed Mtoi, soma mwanzo wa thread mpaka mwisho, na sasa hivi Ritz amekuletea mtu anakejeli hata wale walorukuu kumuomba Rehma Mola wao kuwa watu wanaopenda mambo ya Mombasa ! give me a break! hao ndio unataka uwakumbatie just kwa sababu unaipenda chadema ! angalia ndugu yangu unakoelekea utakuja kosa radhi na rehma za Muumba wako useme umefanyiwa kumbe ni imani yako mbovu na dhaifu !
Una uhakika huyo mtu ni chadema? Je kama angekuwa ccm ungefanyaje?
 
Ingekuwa Chadema wangeshapigwa mabomu. Mbona hao wameachiwa tu wakati hawana kibali?
 
According to logic, kwa kuwa (IF) 'CDM ni chama cha waandamanaji', na (AND) 'waislaam wameandamana na Rejao ni muislam (anawasupport waislam), basi (THEN) Rejao na waislam walioandamana ni CDM.
Bora hata ungeapply Transitive relation!!!
Angalia maandamano ya Waislam, wanayafanya wakiwa na common goal, na achievable target na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa! Hawa ndugu zangu CDM wanajiandamania tu, hawajui wanachokitaka!! Wanashirikiana na viongozi wao kutupigia tu kelele. I think its high time kwa wao kwenye maandamano yao wawe wanaset priorities kwanza. siyo kujiamkia na kuandamana tu bila malengo!!
 
Nashindwa kuelewa ni kwanini haya maandamano yanaruhusiwa bila kibali wala taarifa ila maandamano yanayotolewa taarifa yanazuiliwa na polisi. Tena polisi wako wanaangalia tu wala afawanyikitu hii litawatafuna sana watawala hii ni dhambi kubwa sana wanafanya na italeta mgawanyiko mkubwa sana kwani walianzisha dhana ya udini sasa unawatafuna wanashindwa kuuzuia

Hayana harufu ya Siasa.,
 
Nilisema no fujo na haki yetu tutapata. Haya wadau turudi kwenye porojo za siasa sasa. Dini kwanza siasa baadae.
POLISI NA WAANDAMANAJI WAFIKIA MAKUBALIANO NA Vigogo wa mambo ya ndani,na waislam wote walikamatwa nchi nzima kwa ajili ya Sensa kuachiwa huru,maandamano yameisha,barabara zimefunguliwa..TAKBIIR..WAISlam kukutana msikiti wa Kichangani kwa ajili ya kupiga simu nchi nzima,kujiridhisha kama kweli wenzao wameshatolewa.SOURCE Clouds Fm -Jahazi
 
Una uhakika huyo mtu ni chadema? Je kama angekuwa ccm ungefanyaje?

Sina muda na chadema wala ccm , sioni tija kati ya hayo! natetea dini yangu na yeyote atakaekejeli imani yangu, huyo ni adui yangu ... hiyo ndio philosophy yangu ... yeye kama chadema au ccm atajijua yeye na unafiki wake wa kuwapenda watu wanaomkejeli na kumtukani imani yake ananishangaza kwa kweli tena sana ! na leo katika swala zangu LAZIMA NIMUOMBEE DUA asipotee
 
Huwa nakuheshimu sana Mushi, ila leo, naomba nikwambie hivi, nyie muondoke Dar kwa wailsmu mrudi kwenu bara ! mutuwachie Dar yetu halafu muone !

Huyo jamaa anachekesha kweli yaani wao watoke Moshi waje Dar kwetu halafu sie tuache mijengo yetu Dar sehemu tulipozaliwa sisi pamoja na babu zetu twende Zenji, yeye ndio arudi Moshi wakatangaze taifa lao la Kaskazini.
 
Baada ya maandamano Hatimaye waislamu waliokua wamishikiliwa waachiwa huru souce ITV BREAKING NEWS
 
Huyo jamaa anachekesha kweli yaani wao watoke Moshi waje Dar kwetu halafu sie tuache mijengo yetu Dar sehemu tulipozaliwa sisi pamoja na babu zetu twende Zenji, yeye ndio arudi Moshi wakatangaze taifa lao la Kaskazini.

Mimi amenishangaza sana huyu Mushi tena jina lake la kichaga, amejisahau kabisa, amekaribishwa kama babu yao nyerere sasa atupande vichwani eti twende zanzibar, nadhani haijui historia ya darisalama akasome vizuri tena sio dar akasome historia ya PWANI, kuanzia MBWA MAJI KIGAMBONI MPAKA PANGANI TANGA ...
 
sote ni ndugu chamsingi ni kuwa watanzania wanaandamana haaijalishi ni wa dini gani, tusiruhusu dini za kigeni zitugawe, ccm naona siasa za majukwaani zimewashinda na sasa inatumia kete ya udini ,matokeo yake ndio haya,," Ukristo ,uisilamu zote ni dini za kigeni” wanaotoka povu sababu ya udini hawajui historia

Vema Sembuli, umenena busara katika maneno machache, sijui lini maskini watanzania wataliona hili!
 
Mkuu wangu.
Alisema huo ***** ndio wa kudeal nae na kumuelimisha asitukane dini yetu! Haimanishi kwa kuwa yeye kanitukana basi niseme nimetukanwa na wakristo wote wa jf na hivyo niwe na chuki nao wote na hata ikiwezekana niwajengee uhasama na chuki mbaya ya udini! Huo utakuwa ni uenda wazimu kaka. Uislamu wetu hautufundi chuki za namna hiyo mkuu. Kama uislamu ungekuwa wa namna hiyo tusingekuwa tunaishi na watu wa dini nyingine kwa amani na ushirikiano huko mitaani.

Fikiria nje ya kasha mkuu.
Wabillaah tawfiq, salaam alykum.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

heshima kwako mkuu!!
Ahsante nimekukubali mchango wako..
 
Hapana, ni dini ya aliyekuumba wewe na wazazi wako.
ukisema ni dini ya wenye nchi kama wewe ni muislam itakuwa ni nchi ya waarabu maana ndio wenye dini yao,kama wewe ni mkristu basi itakuwa ni nchi ya wazungu.ninavyojua mimi dar ni ya wazaramo wale wataalam wa mkwaju ngoma ba mdundiko na sio tumsifu yesu kristo wala mswalie mtume.msitusumbue hapa na viimani vyenu vya kikoloni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom