Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Watanzania tunashukuru kwa CHADEMA kuwezesha kufungua milango inayoruhusiwa kikatiba kufanya maandamano maana bila ya kashikashi za CHADEMA leo waandamanaji wasingeweza kuandamana katikati ya Jiji la Dar-es-Salaam.

Na sasa kazi kwa serikali kujiandaa kutoa ulinzi kwa maandamano lukiki yatakayokuwa yanafanyika maana somo la CHADEMA limeshaeleweka kwa kila Mtanzania.

Kuna siku tutaona watu getini Magogoni wakiwa na mabango, kweli sasa serikali ya CCM itazidi kuchanganyikiwa .
Picha za maandamano jijini DSM 07/09/2012 kwa hisani ya http://kumkichwa.blogspot.co.uk/2012/09/breaking-news-picha-za-maandamano-ya.html
 
Hivi MasheKhe na Wachunganji/Mapadri walitoa tamko Lolote kuhusu msiba wa Mwandishi wa Habari?

Tatizo la kutoangalia news pia ni weapons of mass destruction; Malasusa alipotoa tamko wewe ulikuwa wapi au ulikuwa Chanel 5 ukiangalia bongofleva?.
 
waongeze madai ya kupanda kwa gharama za maisha (mfumuko wa bei wa bidhaa), ukosefu wa ajira, kushuka kwa kiwango cha elimu, mmomonyoko wa maadili na kukandamizwa kwa haki za msingi za raia.
 
Mkuu wala usipate shida na hawa mie nipo humu JF mwaka wa nne sasa tunajuana kwa michango yetu unaona hawa wote wanaotoa kejeli na matusi dhidi ya Uislam hawa hawa ndio utawakuta wanaitetea Chadema pamoja na Dr Slaa halafu hawa hawa wanataka tuwe wamoja haiwezekani...tunapoelekea nadhani watakuja kujutia hizi kauli zao maandishi yakishaandikwa basi tena.
CDM inajulikana kuwa against waislamu, na wakija shika hii nchi basi waislamu watapata tabu sana.wewe huoni hata Zitto wanafanya kila njia wamtoe.
 
we wataje hao, si lazima kunifikirisha kuhusu wapemba

kwangu mimi zanzibar ni nchi nyingine na tunahitaji sana kujitenga nao, ni kama ngazija, shelisheli, cape verde nk. siwezi kuwasemea wazanzibari, na yaliyotokea mwembechai nilishayaongelea humu wakati stahiki

nazungumzia ya leo, with the current system, and the same people operating the country, meaning all factors constant, not change of leadership wala OCD

hope unaelewa context na si content pekee

BTW, when was mwembechai issue erupted?? in the nineties right??

UPEO WAKO UKO KAMA WA TAIRI, HAKUNA ZAIDI YA KUZUNGUKA KWISHA, UMEJITAHIDI SAAANA UMEPASUKA
Nadhani ni vyema Zanzibar ikawa nchi,halafu ika adapt sharia law,hili litasaidia kuondokana na wale wasiouweka utaifa mbele,watahamia huko Zanzibar,maana Tanganyika ujinga huu hakuna.Hata Ponda sidhani kama ni mtanganyika.Maji yakishakumwagika hayazoleki.
 
Hizo ni fujo!vp wakristo wakiandamana barabara zitatosha?kazi zitafanyika?,mbona wanampa wakati mgumu mwislam mwenzao kuongoza nchi,mbona wanawatega igp na kove (waislam)?

Mnaubavu wakuandamana nyinyi?waoga sana a,k,a kunguru,labda muandamane kupitia chama chenu cha wagalatia,
 
Ningefurahi sana kusikia kauli ya IGP kwenye suala hili maana inaelekea kwake utawala wa sheria unahusu makundi fulani tu katika nchi!

Hata hivyo, nawapongeza kwa kutoingilia kwani inaonesha wazi kuwa polisi ndio mara nyingi(kama sio zote) chanzo cha vurugu katika mikusanyiko/maandamano ya namna hii. Ni somo zuri sana kwa polisi wetu. Ni vizuri wameacha waandamane kwa amani na baada ya hapo kama kuna sheria imevunjwa, wahusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria kujibu.
 
CDM inajulikana kuwa against waislamu, na wakija shika hii nchi basi waislamu watapata tabu sana.wewe huoni hata Zitto wanafanya kila njia wamtoe.

Huu udini unawasumbua sana CCM,kazi mnayo
 
Kweli nimeamini polisi wa Tanzania wanatumiwaga na ccm kuwafanyia chadema fujo,mbona hawa wanaandamana bila kibali na hawafanywi lolote
 
Jamani mchana wote huu maandamano ina maana hao wote wanaoandamana hawana kazi au wamechukua likizo
 
Ohio street imefungwa, na kuna watu wengi sana pale Wizarani. Polisi wa mabomu wametanda, na gari la maji ya kuwasha likiwa pembeni. Waislamu wanaimba kwa Nguvu sana na Polisi bado wapo very calm. Situation iko very manageable, unless otherwise kitokee kingine!
Waislamu hawatafanya fujo yeyote na hakuna bomu litakalorushwa, na endapo watalazimisha basi tutaongea mengine hapa na sio maandamano tena. Kumbuka maongezi yashaanza na viongozi wa wizara so ngumu kuwatawanya sasa wafuasi watupu
 
Ningefurahi sana kusikia kauli ya IGP kwenye suala hili maana inaelekea kwake utawala wa sheria unahusu makundi fulani tu katika nchi!

Hata hivyo, nawapongeza kwa kutoingilia kwani inaonesha wazi kuwa polisi ndio mara nyingi(kama sio zote) chanzo cha vurugu katika mikusanyiko/maandamano ya namna hii. Ni somo zuri sana kwa polisi wetu. Ni vizuri wameacha waandamane kwa amani na baada ya hapo kama kuna sheria imevunjwa, wahusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria kujibu.

Nakubaliana nawe 1000% Polisi ndiyo huwa chanzo cha vurugu katika maandamano -- hasa yakiwa ya CDM.
 
Duh ni watu wengi aiseee, wamepita barabara ya bibi Titi Posta muda sio mrefu...!!

Serikali ya Mgamba isingekuwa imefunga ndoa ya mkeka na waislam ingekuwa ineondolewa madarakani siku si nyingi, maana hawa jamaa kwa kudai haki zao risasi za policcm hugeuka kuwa inzi wanaposonga mbele.
 
hope utavuna mnachokipanda ,mbona ile ya miaka 55 ndio mafao hamkuandamana wanafki tuu,mambo ya msingi mnanyamaza upumbavu mnaandamana .tatizo elimu ndogo.

Wao wanaandamana wenzao watolewe ndani sasa sijui huo unafiki umetoka wapi au una chuki na dini yao. Sioni tatizo la kuandamana kwao.
 
Hatuna waalimu wa kutosha hawaandamani.

hatuna madawa ya kutosha mahospitalini hawashiriki kupata jibu lake.

nafika mahala nawahurumia sana hawa jamaa.

huwezi kuitawala dunia kama utakuwa mbumbumbu. waelekeze maandamano upande wa elimu bora.

kwa mwendo huu mkoloni mweupe atarudi tu

Hapo kwenye red umewaonea mkuu. Walishiriki kikamilifu kutatua mgogoro wa madaktari kwa "kuapa kuwashitaki mahakamani" kwa kugoma wakati mahospitali madawa yamejaa tele!
 
we wataje hao, si lazima kunifikirisha kuhusu wapemba

kwangu mimi zanzibar ni nchi nyingine na tunahitaji sana kujitenga nao, ni kama ngazija, shelisheli, cape verde nk. siwezi kuwasemea wazanzibari, na yaliyotokea mwembechai nilishayaongelea humu wakati stahiki

nazungumzia ya leo, with the current system, and the same people operating the country, meaning all factors constant, not change of leadership wala OCD

hope unaelewa context na si content pekee

BTW, when was mwembechai issue erupted?? in the nineties right??

UPEO WAKO UKO KAMA WA TAIRI, HAKUNA ZAIDI YA KUZUNGUKA KWISHA, UMEJITAHIDI SAAANA UMEPASUKA

Waislam waliopigwa risasi Mwembechai kwenye maandamano walikuwa wafuasi wa Chadema..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom